Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani

0
5542
Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani

Baba mzee mkongwe kuliko wote dunianiBinadamu wa kihindi ambaye ndie baba mzee mkongwe kuliko wote duniani kawa baba kwa mara ya pili akiwa na umri wa miaka 96.

Raghav Ramjit ilitunukiwa kuwa baba mzee mkongwe kupita wote dunbiani  miaka miwili iliyopita wakati yeye alikuwa amemzaa mwana wake wa  kwanza Karamjit akiwa na umri wa  miaka 94.

• Pamoja na uzee na ukongwe wake Ramjit Raghav ana uwezo wa kufanya tendo la ndoa mara tatu kwa usiku mmoja
• Mwanawe wa kwanza, Karamjit, alizaliwa miaka miwili iliyopita katika mji wa Haryana, kaskazini mwa India

Chanzo: The Mirror

Leave your comment about Baba mzee mkongwe kuliko wote duniani using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here