Hadithi ya kweli
Tarehe 18 Novemba 2016

Binti wa miaka 14 aliyefariki mwezi uliopita kule kwa sababu ya saratani ashinda kesi.

Akijua kuwa atakufa binti huyo mwenye matumaini makubwa ya kuishi alijikuta akihifadhiwa kwenye jokofu ili dawa siku moja ikipatikana arudi duniani kuishi tena. Alitumia zaidi ya akitafuta namna bora ambayo anaweza kuhifadhiwa vizuri ili siku moja dawa ikipatikana aweze kuishi tena.

Huku nyuma wazazi wake ambao walikuwa wametalikiana walijikuta kwenye msuguano mkubwa wa kisheria wa kwamba binti ni sana kuweza kuweka wosia.

Binti kuona hivyo kabla hajafa alimwandikia jaji barua akitaka kulinda hitaji lake hilo.

Katika barua yake kwa jaji ambayo inahuzunisha alisema

“Nataka niishi, tena niishi miaka mingi na ninafikiri huko mbeleni wanaweza kugundua dawa ya saratani ili niamshwe tena. Nahitaji niwe na fursa hii ya kuishi tena”

Mama yake aliunga mkono hitaji la binti yake ila alilikataa na kutaka azikwe kawaida.
Akitoa hukumu hiyo, jaji alidai hitaji la binti ni sharti litimizwe.
Kwa hiyo mwili wa huyo binti sasa utahifadhiwa mpaka dawa ya kutibu saratani itakapogunduliwa.

Chanzo: The Mirror

Acha maoni yako kuhusu kwa kutumia fomu hapa chini

Weka majibu hapa

Tafadhali weka maoni
Tafadhali weka majina yako hapa