Dereva Taxi na Abiria wa Kike

0
5033

Mwanamke aliingia kwnye teksi akitaka huduma akiwa uchi kama alivyozaliwa!

Dereva akawa anamshangaa,

Mwanamke: hujawahi kuona uchi au!

Dereva: Ninachoshangaa si uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?

Leave your comment about Dereva Taxi na Abiria wa Kike using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.