Marekani safari hii itabidi waombe uzoefu kutoka serikali ya Bongo kwani wanaharakati wa msimamo mkali wa LEFTISTS wakiwa na ufadhili mkubwa wanaadaa mgomo mkubwa wakati wa kumuapisha Trump tarehe 20, Januari 2017. Vyanzo vya habari zinadai kuwa mitandao ya kijamii hasa ya twitter na facebook inatumika kwa id ya #DisruptJ20 kuhamasisha wanaharakati wenzao nchi nzima kuvuruga uapishwaji huo
Hata hivyo vyanzo vingine vinawasiwasi na ukimya wa Hillary Clinton kutokemea migomo na machafuko yanayoenea takribani majimbo yote 50 ya Marekani wakisusia ushindi wa kidemokrasia wa Donald Trump uliofanyika Tarehe 8 Novemba 2016.
Kwa migomo na machafuko haya yanayolikumba taifa kubwa na kongwe kwa demokrasia duniani inaweza kuwapa kisingizio madikteta wa Afrika kuhalalisha kung’ang’ania madaraka. Marekani ina umri wa miaka 200 tangu ianze chaguzi za kidemokrasia wakati ambapo Donald Trump anakuwa ni rais wa 45 kuchaguliwa kihalali.
Kwa upande wake Nchi nyingi za Afrika zina wastrani wa umri wa miaka 25 tangu zianze chaguzi za kidemokrasia wakati ambapo nchi kama Tanzania imempata rais wa 5 Tarehe 25 Novemba 2015 kwenye
Kujua zaidi huu mtandao wa #DisruptJ20 tumia google kutafuta viunganishi vinavyoletwa na neon #DisruptJ20
Piua unaweza kufuata kiunganishi hiki kwa maelezo zaidi