Eden Hazard Kuihama Chelsea 2018

0
396

The sun na Metro wameripoti kuwa Man United wanaandaa Paundi mil 90 kumnunua Eden Hazard huku Daily mail wakiripoti kuwa Hazard yuko kwenye mazungumzo ya kina na Real Madird kuhamia huko baada ya Kombe la dunia kule Urusi. Tayari mabosi wa Real Madrid wameshampa kibali ZZ Zizou kumnasa Eden

Wasiwasi wangu ni Je Jose Monrinho na Hazard wameshakuwa marafiki tangu lini

UNITED’S EDEN PROJECT

Manchester United eye £90million Eden Hazard deal as Jose Mourinho wants reunion with Chelsea star

Blues ace has already turned down a new £300,000-a-week four-year Stamford Bridge deal as he considers his options

Chelsea star Eden Hazard in ‘advanced negotiations’ with Real Madrid… as Marco Asensio tells them he will leave if Belgian arrives after the World Cup

· Eden Hazard has been linked with a move away from Chelsea in the summer, 2018

· Reports in Spain claim that Hazard is in ‘advanced negotiations’ with Real Madrid

· Marco Asensio has ‘told Madrid he will leave if Hazard arrives at Bernabeu’

· Manchester City are said to be keen on youngster Asensio if he leaves Madrid 

Hazard bado hajakubaliana na uongozi wa Chelsea kuhusu mkataba wake kwani mpaka sasa ameshakataa proposal ya kulipwa Paundi 300,000 kwa wiki

Leave your comment about Eden Hazard Kuihama Chelsea 2018 using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here