Je unajua shida anazopitia mlezi wa Kitanzania?

0
47

Tanzania Kuna Shida Ebu angalia huu msururu

1.       Ukiwa nyumbani jirani mchokozi, mara vijimambo, mara matusi, mara anakuwekea uchafu mlangoni mwako -shida

2.       Mume wako Mke wako naye -shida

3.       Watoto kuunguza mboga kwa sababu ya instagram shida

4.       Umeme luku inaisha ovyo au kukatika shida

5.       Maji kukatika shida

6.       Barabarani traffic shida,

7.       Jam ya barabarani shida

8.       Daladala wamejaa vcibaka shida

9.       Ukifika ofisini bosi wako kelele nyingi shida

10.   Umeme ofisini umekatika shida

11.   Internet iko slow au imekatika shida

12.   Landlord kupandishe kodi shida

13.   TRA funga funga shida

14.   Kazi hazifanyiki kwa sababu ya kuperuzi facebook na yutubu –shida

15.   Ukirudi nyumbani unasubiriwa ili utoe pesa ya chakula na hujauza chochote – shida

16.   Mtaani wanataka pesa za ulinzi shida

17.   Mtoto kashikwa na homa ya ghafla, unatakiwa uende hospitalini na pesa hakuna shida

18.   Usiku wa manane Wezi na vibaka wako kwenye nyumba yako nao huko nje wanasema wako kazini “Hapa Kazi Tu! – shida

19.   Misimu ya sikuu kuu unatakiwa kunuanua nguo za watoto, mama, pesa za wali kuku na kubadilisha mlo

20.   Misimu ya kufungua shule ada ada ada – shida tu

Ukiona nina zeeka haraka

Nina konda

Nina pressure na stroke usinicheke ni kwa sababu ya hiyo habari hapo juu

Leave your comment about Je unajua shida anazopitia mlezi wa Kitanzania? using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here