Je wajua mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani?

0
5727
Annie Jones Mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani2

Annie Jones Mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani2Annie Jones ambaye ni mzaliwa wa Virginia, Marekani ndie mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani? Alizaliwa tarehe 14, 1865  akiwa amefunikwa na wingu la nywele mpaka wazazi wake wakamwita “ESAU”.

Chanzo: http://f-r-e-a-k-s.tumblr.com/

Wanawake wenginbe wenye ndefu nyingi ni:

  1. Vivian Wheeler kutoka Marekani
  2. Madame Josephine Clofullia Wa Uswisi.

Leave your comment about Je wajua mwanamke mwenye ndevu nyingi kuliko wote duniani? using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here