Je, wajua nchi yenye mabudha wengi duniani?

0
190

Nchi ya china ndiyo nchi yenye mabudha wengi zaidi duniani. Nchi hii ina takriban mabudha wapatao milioni 106.

Orodha kamili ya nchi 20 zenye mabudha wengi duniani hii hapa:
1. China 105,748,151 – 1,057,481,510
2. Japan 25,486,699 – 57,336,154
3. Vietnam 13,641,977 – 72,473,003
4. Thailand 61,814,742
5. Myanmar 42,636,562
6. South Korea 11,427,436 – 24,522,395
7. Taiwan 8,000,605 – 21,258,751
8. India 16,947,992
9. North Korea 466,035 – 15,029,613
10. Sri Lanka 14,648,421
11. Cambodia 13,296,109
12. Laos 4,369,739 – 6,391,558
13. Hong Kong 705,022 – 6,282,371
14. United States 2,107,980 – 6,022,799
15. Malaysia 5,460,683
16. Nepal 3,179,197
17. Singapore 1,935,029 – 2,781,888
18. Mongolia 1,475,893 – 2,774,679
19. Indonesia 2,346,940
20. Philippines 2,276,932

Pia nchi ya Laos ndiyo inayoongoza kwa kuwa na uwiano mkubwa wa mabudha duniani. Nchi hii ina asilimia 98 ya mabudha nchi nzima.
1. Laos 98%
2. Cambodia 96%
3. Mongolia 96%
4. Thailand 94.6%
5. Japan 93.8%
6. Taiwan 93%
7. Hong Kong 90%
8. Burma 89%
9. Vietnam 85%
10. Macau 85%
11. China 80%
12. Bhutan 75%
13. Christmas Island 75%
14. Sri Lanka 70%
15. North Korea 67%
16. Singapore 51%
17. Malaysia 23%
18. South Korea 22.8%
19. Brunei 15%
20. Nepal 11.4%

Leave your comment about Je, wajua nchi yenye mabudha wengi duniani? using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here