Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kubahatisha wa BIKO, Tanzania 2017

66
10149

Unaweza kushinda MILIONI 100 Jumapili hii katika droo ya MEGA JACKPOT tarehe 29 mwezi huu.

1.Ingia M-pesa,Tigopesa au Airtelmoney
2.Chagua lipa bili
3. Namba ya kampuni 505050
4. Kumbukumbu ya malipo 2456
5. Kiasi unachocheza kuanzia BUKU (Shs 1,000 kwenda juu)

#NguvuYaBuku

#MshikoNjeNje
#NguvuYaBuku
#LalaMaskiniAmkaTajiri
#MegaJackpot100M

Michezo mingine inayochezwa sasa ni:

#Tatu Mzuka

#Tusua Mapene

Leave your comment about Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kubahatisha wa BIKO, Tanzania 2017 using the comment form below

66 COMMENTS

 1. Watanzania fungukeni hii michezo sio moja kwetu imechelewa biko sio wezi nimladi au kampni nyingine za biashara biko nikamali yaani mchezo Wa kuotea kukosa na kupata kama hujafikia miaka 18 malufuku hata sigara,biya,nk walitaka MTU unae jitambua mm mwenyee nimecheza zaidi 200000 ila ukishinda umejitaidi 20000 sio wanapanga wao mshindi kamali yoyote nikua makini hutaki achana nayo hulazimishwi

 2. Af ukitaka kuangalia watu wanaoshinda BIKO kila siku wanatoka Dar kwani mikoa mingine hawachezi? Kama mchezo huu ni wa dar tu mseme ili watu wa mikoani tusishiriki

 3. Juzi nimejishindia Laki moja asubuhi tu na nmecheza elfu saba hivi asee nmeshangilia kinoma na nlikua sina kila kitu….. Suala ni bahati tu hapo

 4. Mimi Husein Abdulah nimecheza biko mwezi mzima kila saa elfu moja sasa cjawahi kushinda au kupigiwa simu kutoka biko ila napokea simu za meseji nimekarbia kushinda sasa nataka kujua ni kweli au matapeli tu. 505050
  namba ya kuweka pesa ni 2456.
  namba yangu ya simu ni: 0769463826
  mkoa wa mwanza wilaya ya kwimba.

 5. Haha nimekuwa nikisoma comment nimejikuta nacheka kwani lazima tujue huu ni mchezo wa kubahatisha hivyo usitoe ela bank au ya kula utaumia tumia pesa ya zida

 6. Kwa hiyo ni wizi mtupu nilitaka kucheza nikaseme niangalie coments ila naona wacha tu nikanywe soda mbili nipate afya hata maji ya rangi ya machungwa kimoyoyo nitulie

 7. wa iringa mjin
  huu n mchezo wa kubahatisha tafadhal usiweke mipango yako kwenye mpango wa kubahatsha utaraumu wa2 bure, pia hela unayochezea ucchukue kwenye bajet ya maisha ya kila siku. itenge kabsa hela ya kuchezea il usiumize akil yako.
  BIKO BIKO mshiko nje nje

  • Na hizi no wanazoweka na kusema kama unataka kushinda piga no hii apa ina maana wanapanga washindi kwa kuwaomba chochote si ndio mfano kuna ukurasa unajiita kajala masanja no zao ni 0719144418 za nini mbn kama watu tunaibiwa tu

   • MIMI SIDHANI KAMA NI WAONGO, HUKU MAHENGE KUNA MMAMA KASHINDA MILIONI 20 MWAKA JANA NA WALA HAJULIKANI NA HAO BIKO. NI MAMA TU WA NYUMBANI. CHA MSINGI NI MUHIMU KUJUA BAHATI SI YA KILA MTU. UNAWEZA UKACHEZA MIAKA YOTE MPAKA UNAKUFA NA USISHINDE LAKINI MWENZIO KACHEZA MARA MOJA AKASHINDA. JIPANGENI UPYA… NI MUHIMU KUCHEZA KWA TAHADHARI

 8. Mm mwenyewe nimecheza hadi nimechoka, kila siku hakuna kushinda hizo milion moja nasikia tu zinatangazwa Mara kashinda mtu Fulani ,inaumiza

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here