Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kubahatisha wa BIKO, Tanzania 2017

51
7892

Unaweza kushinda MILIONI 100 Jumapili hii katika droo ya MEGA JACKPOT tarehe 29 mwezi huu.

1.Ingia M-pesa,Tigopesa au Airtelmoney
2.Chagua lipa bili
3. Namba ya kampuni 505050
4. Kumbukumbu ya malipo 2456
5. Kiasi unachocheza kuanzia BUKU (Shs 1,000 kwenda juu)

#NguvuYaBuku

#MshikoNjeNje
#NguvuYaBuku
#LalaMaskiniAmkaTajiri
#MegaJackpot100M

Michezo mingine inayochezwa sasa ni:

#Tatu Mzuka

#Tusua Mapene

Leave your comment about Jinsi ya Kucheza Mchezo wa Kubahatisha wa BIKO, Tanzania 2017 using the comment form below

51 COMMENTS

  1. Ushauri wangu kwenu ni bora mchezo ungelikuwa unachezeshwa MUBASHARA kupitia runinga ili kila mshabiki ashuhudie ili kujenga imani zaidi na kuondosha manung’uniko, kufanya hivyo kutazidi kuongeza mashabiki na kuwa na màpenzi zaidi na mchezo huu.

  2. BIKO! BIKO!Umeshinda Tshs 10,000.Kodi Tshs 1,620 Salio Tshs 8,380.Shinda hadi MILIONI 1 papo hapo. Una nafasi 4 za MILIONI 50 kwa watu wa 5 JUMATAMU HII. Nitumiwa hii sms alfu hiyo pesa cjatumiwa ndio nn sasa

  3. Comment:nitachezaje makadirio ya mpira kwenye biko? nimeweka pesa kwenye account yangu ya 10101010 af sioni salio ni ngapi imebakia

  4. Leo tarehe 30/3/18 nimecheza mchezo Biko nikatumiwa meji nimeshinda 10,000=mpaka sasa sijaiona ktk M-PESA tangu.tatizo nini?

  5. Why other people are playing frequently but not winning? Iam one of them. Is this a true winning game? Better to play with premier bet. It looks like this game has all significants of lies. I will believe that day when you call me that iam the winner.

  6. jamani saa nyingine nacheza sana naambiwa bado nafasi moja kila saaa inakatisha tamaa sana na kuna saa nikicheza majibu hayaji kama sasa ivi

  7. washindi inaonekana ni wa tigo kwa asilimia kubwa. Je, kwanini iwe ionekane hivyo? Pili mimi najitahid kucheza ila sipati bahati ya kushida wakati mnatukata hadi pesa ya kutuma buku kwenu na haijawah tokea nikashinda japo laki. wakati nmasema et kwa buku waweza pata laki.

    • Unaonekana we ni muhusika Biko mnatabia ya kutowatumia watu pesa walioshinda itawaharibia tumeni pesa za watu Huo ni utapeli sasa

  8. I played for almost four months but nothing comes on what’s up naishia tu kutumiwa sms kuwa nipo nafasi ya pili kati ya tatu if am number two why can’t I win even a single cent?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here