Tusua Mapene ni mchezo wa kubahatisha unaochezeshwa na Vodacom Tanzania. 
Kuna zawadi za papo kwa papo za sh. milioni 20 na inatoa washindi watano kwa jumla ya milioni 100. Kuna zawadi za kuanzia shs laki 5 hadi milioni 15 kila siku. Pia kuna zawadi za shs. milioni 15 kila mwezi. Katika droo kubwa ya mwisho itatolewa shs million 150 kwa atakayeshinda.

Wekeni Wazi kwamba ili mtu ashinde anatakiwa kufanya nn sio namna tu ya kucheza mana kila anaecheza anataka ashinde sasa afanye nn ili ashinde au vigezo vipi vinatumika kumpata mshindi au mshindi kafanya nn cha tofauti na wenzake mpaka akashinda
Hata mimi natamani sana kucheza ila cjui vigezo na namna ya kushiriki
Awali niliwahi kuwa na mashaka na nilidhani TUSUA MAPENE itakuwa ni SCAM tu kama zingine tulisowahi kusikia. Ila is not.
Wapo wacheaji wanaobahatika kushinda zawadi mbalimbali kila siku na kila siku ya Jumanne.
Hivyo ni ni vizuri kuendelea kucheza ipo siku batati inakuja
0763448052
naamini tusua mapene watu hupata,imani yako ni ukombozi wako kwa maana bila imani huwezi kufika katika ushindi..naipenda sana vodacom maana mwngi naona ya kweli kwanini hili la tusua mapene liwe si la kweli?…vodacom mpango mzima.
naamini tusua mapene ni wizi wa kimtandao maana anacheza miaka 2 bila kushinda hata cent moja inakuwaje hiyo?
Nihuu mchezo mbona siuelewi?
nielekezeni namimi jins ykucheza
Comment:hata mimi yaan sielew
Naupenda mchezo,ila tar.na siku ya droo na namba ya mawasiliano iwe wazi kwa wachezaji ili tuweze kuona mubashara jinsi washindi wanavyochaguliwa,na pia washindi wajulishwe Mara moja kupitia simu zao.
Naomba kufaahamu ni kete ngapi natakiwa kuwa Nazo ili nishinde au nakosea kucheza! Maana nimecheza sana lkn bila mafanikio
Shida hawajibu hats comment zatu .Mimi nacheza kila Sikh sijawahi shinda kwanini sifa na vigezo vya mchezo huu ni vipi
Naomba kujua idadi sahihi ya Kete/point ambazo mshiriki wa Vodacom tusua mapene anatakiwa kuwa nazo ili kushinda na Vodacom tusua mapene
kama mambo yenye ni hayo nitaogopa kucheza
Vodacom, naomba msaada wa maelekezo zaidi. Hivi mtu anayeshinda anaangaliwa kwa vigezo vipi? Na kama ni wingi wa points mbona haieleweki? Nimecheza kwa muda mrefu sana, nimetumia hela nyingi sana. Nifanyeje zaidi ili nami niweze kushinda? Naombeni msaada.
Biko nimeshinda Leo asubh elfu kumi lkn hamjanipa sijui ni mtandao au ni nn angalieni machine zenu nipeni hyo pesa plz
Comment:kwa kila siku droo ya kutafuta mshindi aliyetusu inafanyika mda gani…..
Mimi anton naomben kujua vzr kuhux hu mchezo maana nazdi kuixhiwa bila mafanikio yoyote
Jaman naombeni kujua vzr kuhuxu hu mchezo maana nacheza kila xku lakn hata xixhind jaman
Unatakiwa ucheze mda gani? Ili uingie kwenye droo, naomba ufafanuzi.
Naupenda sana huu mchezo and I wish to succsseed my ambitions with TUSUA MAPENE from VODACOM.
Unapataje milioni 100 au 150?
mimi ni mteja wa vodacom na huwa nacheza sana mchezo wa shindano la tusua mapene kwa muda mrefu sana lakina sijawah kushinda hata mara moja jaman inakuwaje hii…huwa napata taarifa kwamba wameshinda wengine.swali …je?…mimi nitashinda lini ?..na mwisho wa promoshen ya vodacom tusua mapene ni lini..? na mwisho wa droo kubwa ni lini jamani …?
mimi ni mteja wa vodacom na huwa nacheza sana mchezo wa shindano la tusua mapene kwa muda mrefu sana lakina sijawah kushinda hata mara moja jaman inakuwaje hii…huwa napata taarifa kwamba wameshinda wengine.swali …je?…mimi nitashinda lini ?..na mwisho wa promoshen ya vodacom tusua mapene ni lini……?
Mteja wa siku nyingi voda toka inanza miaka hiyo ila sijajua hadi kete ngap ?ndo kushinda au kutusua mapene!
Kwa siku unatakiwa kucheza mara ngapi na
Maoni:ili MTU ashinde poromosheni ya tusua mapene anakuwa kete ngapi make naona Nina kete nyingine lakini sjapata hata laki moja
Mimi ni mteja wenu wa tusua mapene nimeshacheza sana huu mchezo wa tusua mapene lakini kila nikicheza naambiwa umeikosa sh milioni 20 au milioni mia hata nikicheza saa moja asub naambiwa umekosa subiri check ya kesho hata zile za kila siku nazo sipata na ninacheza kila siku mpaka naelekea kukata tamaa sijaelewa kabisa vigezo vinavyotumiwa mtu kushinda na hao wanaoshinda basi watangazwe tuwajue
Kitu gani mnaangali kujua mtu ameshinda?
Hivi mpaka mtu mnampa ushindi wa kiasi kadhaa cha pesa anakuwa kacheza kwa mda gan maana kuna mtu kila siku anacheza lakini anaambiwa tuu umekosa milioni 15 au 20 au 100 subiri kesho au endelea kucheza kuongeza kete kwa droo ya mwisho asa nilitaka kujua an mpaka mnamtangaza mtu kashinda labda milioni 3.5 anakuwa kacheza kwa mda gan?
Hello Agness
Ni muda wowote, usiku, mchana, asubuhi, jioni mpaka utakapofikia mwisho ambao VodaCom hawakutaja
kuna muda maalum wa kushiriki tusua mapene?
Hii tusua mapene IPO??? Mbona nacheza kila siku tangu agost sijashinda? Na doubt