Jinsi ya Kucheza Michezo ya Kubahatisha wa Tusua Mapene, VodaCom

33
6081
Tusua Mapene ni mchezo wa kubahatisha unaochezeshwa na Vodacom Tanzania.

Kuna zawadi za papo kwa papo za sh. milioni 20 na inatoa washindi watano kwa jumla ya milioni 100. Kuna zawadi za kuanzia shs laki 5 hadi milioni 15 kila siku. Pia kuna zawadi za shs. milioni 15 kila mwezi. Katika droo kubwa ya mwisho itatolewa shs million 150 kwa atakayeshinda.
 Inline images 1

Leave your comment about Jinsi ya Kucheza Michezo ya Kubahatisha wa Tusua Mapene, VodaCom using the comment form below

33 COMMENTS

 1. Wekeni Wazi kwamba ili mtu ashinde anatakiwa kufanya nn sio namna tu ya kucheza mana kila anaecheza anataka ashinde sasa afanye nn ili ashinde au vigezo vipi vinatumika kumpata mshindi au mshindi kafanya nn cha tofauti na wenzake mpaka akashinda

 2. Awali niliwahi kuwa na mashaka na nilidhani TUSUA MAPENE itakuwa ni SCAM tu kama zingine tulisowahi kusikia. Ila is not.
  Wapo wacheaji wanaobahatika kushinda zawadi mbalimbali kila siku na kila siku ya Jumanne.
  Hivyo ni ni vizuri kuendelea kucheza ipo siku batati inakuja

 3. naamini tusua mapene watu hupata,imani yako ni ukombozi wako kwa maana bila imani huwezi kufika katika ushindi..naipenda sana vodacom maana mwngi naona ya kweli kwanini hili la tusua mapene liwe si la kweli?…vodacom mpango mzima.

 4. Naupenda mchezo,ila tar.na siku ya droo na namba ya mawasiliano iwe wazi kwa wachezaji ili tuweze kuona mubashara jinsi washindi wanavyochaguliwa,na pia washindi wajulishwe Mara moja kupitia simu zao.

 5. Naomba kufaahamu ni kete ngapi natakiwa kuwa Nazo ili nishinde au nakosea kucheza! Maana nimecheza sana lkn bila mafanikio

 6. Shida hawajibu hats comment zatu .Mimi nacheza kila Sikh sijawahi shinda kwanini sifa na vigezo vya mchezo huu ni vipi

 7. Naomba kujua idadi sahihi ya Kete/point ambazo mshiriki wa Vodacom tusua mapene anatakiwa kuwa nazo ili kushinda na Vodacom tusua mapene

 8. Vodacom, naomba msaada wa maelekezo zaidi. Hivi mtu anayeshinda anaangaliwa kwa vigezo vipi? Na kama ni wingi wa points mbona haieleweki? Nimecheza kwa muda mrefu sana, nimetumia hela nyingi sana. Nifanyeje zaidi ili nami niweze kushinda? Naombeni msaada.

 9. Biko nimeshinda Leo asubh elfu kumi lkn hamjanipa sijui ni mtandao au ni nn angalieni machine zenu nipeni hyo pesa plz

 10. mimi ni mteja wa vodacom na huwa nacheza sana mchezo wa shindano la tusua mapene kwa muda mrefu sana lakina sijawah kushinda hata mara moja jaman inakuwaje hii…huwa napata taarifa kwamba wameshinda wengine.swali …je?…mimi nitashinda lini ?..na mwisho wa promoshen ya vodacom tusua mapene ni lini..? na mwisho wa droo kubwa ni lini jamani …?

 11. mimi ni mteja wa vodacom na huwa nacheza sana mchezo wa shindano la tusua mapene kwa muda mrefu sana lakina sijawah kushinda hata mara moja jaman inakuwaje hii…huwa napata taarifa kwamba wameshinda wengine.swali …je?…mimi nitashinda lini ?..na mwisho wa promoshen ya vodacom tusua mapene ni lini……?

 12. Maoni:ili MTU ashinde poromosheni ya tusua mapene anakuwa kete ngapi make naona Nina kete nyingine lakini sjapata hata laki moja

 13. Mimi ni mteja wenu wa tusua mapene nimeshacheza sana huu mchezo wa tusua mapene lakini kila nikicheza naambiwa umeikosa sh milioni 20 au milioni mia hata nikicheza saa moja asub naambiwa umekosa subiri check ya kesho hata zile za kila siku nazo sipata na ninacheza kila siku mpaka naelekea kukata tamaa sijaelewa kabisa vigezo vinavyotumiwa mtu kushinda na hao wanaoshinda basi watangazwe tuwajue

 14. Hivi mpaka mtu mnampa ushindi wa kiasi kadhaa cha pesa anakuwa kacheza kwa mda gan maana kuna mtu kila siku anacheza lakini anaambiwa tuu umekosa milioni 15 au 20 au 100 subiri kesho au endelea kucheza kuongeza kete kwa droo ya mwisho asa nilitaka kujua an mpaka mnamtangaza mtu kashinda labda milioni 3.5 anakuwa kacheza kwa mda gan?

Leave a Reply to Arnold Cancel reply

Please enter your comment!
Please enter your name here