Kama huelewi, sikiliza tu

0
122
Kama huelewi, sikiliza
Kama huelewi, sikiliza

Katika maisha yangu nimejifunza yafuatayo

  1. Kama huelewi, sikiliza tu
  2. Kama huelewi, soma tu

Niliwahi kufaulu mtihani fulani bila kuelewa, ila nilitii hii kanuni ya pili ya kusoma tu. Nilichukua mtaala wangu nikaangalia natakiwa nisome wapi nikachukua vitabu vilivyopendekezwa kwenye mtaala nikasoma, sehemu kubwa nilkuwa ninasoma bila kuelewa. Cha kushangaza wakati wa mtihani, nilikutana na maswali niliyokuwa nasoma, nilikopi na kupaste kama wasemavyo waingereza. Wau mtihani sio tu nilifaulu bali nilikuwa wa kwanza darasani.

Nakushauri na wewe mfuasi wa jewajua.com kuwa katika maisha sio lazima kila kitu uelewe, kuna mambo utakazozielewa na kuna ambazo hutazielewa, lakini zote unatakiwa kufanya na kufaulu. Hivyo jenga tabia ya kumsikiliza mwenzako, mwalimu, TV, Radio au kusoma vitabu, majarida, tovuti nk  hata kama huelewi ali mradi unachokisikiliza au kusoma ni muhimu katika maisha yako au taaluma yako

 

Leave your comment about Kama huelewi, sikiliza tu using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.