Kichekesho cha baba na mtoto wake

0
8316

Katika nyumba moja, baba katika kulala na housegirl mtoto wake wa kiume akamfumania na maelezo yakawa hivi:

Mwanangu, ebu chukua hii Shs 500 halafu usimuambie mama yako kuwa nimelala na housegirl.

Mtoto: sitaki, we baba ni mbahili sana, mbona mama akilala na mlinzi ananipaga Shs. 1,000

Leave your comment about Kichekesho cha baba na mtoto wake using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.