Kichekesho cha Bwana Harusi Kikojozi

1
14279

Jamaa alikuwa ana tabia ya kukojoa kitandani baadhi ya siku.
Akafikia kuoa. Katika ya siku za mwanzo baada ya harusi, siku moja kama kawaida yake alijikojolea.
Akapiga kelele “Mungu wangu eee”.
Mke wake akashtuka, akamuuliza: Vipi mume wangu?
Mume: Hivi mke wangu ungeota unataka kuliwa na mamba, chuwi na simba kwa wakati mmoja ungefanyaje?
Mke: Ningezimia kabisa.
Mume: Basi mwenzio sijazimia nimejikojolea.

Leave your comment about Kichekesho cha Bwana Harusi Kikojozi using the comment form below

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here