Kichekesho cha Maprofesa wa Tanzania

0
8231

Kuna maprofesa 40 walipanda AIR TANZANIA ili wasafari. Kabla ndege haijaanza kuondoka, Lilipita tangazo kama ifuatavyo:

Ndugu wasafiri wote, ndege unayotarajia kusafiri nayo imetengenezwa na wanafunzi wa Kitanzania.

Baada ya tangazo maprofesa wote waliteremka isipokuwa mmoja alibaki kwenye kiti chake

Walipomuuliza ni kwanini hakuondoka akajibu kwa haraka na furaha kuwa:

Kama ndege hii imetengenezwa na watanzania, hata kuwaka haitawaka!

Leave your comment about Kichekesho cha Maprofesa wa Tanzania using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.