Kichekesho cha Mlevi Mmoja na Mchungaji

2
11102

Kulikuwa na harambee ya kujengea ukuta makaburi ya kanisa moja

Waumini wakaambiwa watoe michango ya pesa ili wazungushie ukuta eneo la makaburi hayo.
Mchungaji akauliza kuna mtu mwenye swali?
Mlevi naye akamuuliza mchungaji

“Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, kwa nini basi tujengee ukuta?
Mchungaji kimyaaaaa!

Leave your comment about Kichekesho cha Mlevi Mmoja na Mchungaji using the comment form below

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.