Kichekesho cha Mlevi Mmoja

4
12944

Mlevi mmoja alianguka toka kwenye ghorofa, fasta fasta watu wakamfuata kumsaidia, wakamuuliza VP IMEKUAJE?
Mlevi akajibu:
”HATA SIJUI NA MIE NDO NAFIKA SASAHIVI…”

 

Leave your comment about Kichekesho cha Mlevi Mmoja using the comment form below

4 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here