Kichekesho cha Mlevi na Mchungaji Kanisani

0
3167

Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi.
Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali?
Mlevi akauliza “Je kuna Marehemu yoyote aliyewahi kutoroka? Kama hakuna, ukuta wa nini sasa? Au ndio ufisadi hadi kwenye makaburi…?
Mchungaji kimyaaaaa!

……………………………………………………………………………

Leave your comment about Kichekesho cha Mlevi na Mchungaji Kanisani using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here