Kichekesho cha Mume Mlevi na Mke Wake

0
15867

Mke akamuuliza swali mume wake ambaye ni mlevi sana

“Honey, kati ya pombe na mimi, mkeo ni kipi unakidhamini”

Mume mlevi akajibu

“Wewe acha kutania, kuna kitu duniani cha kufananisha na pombe?”

Leave your comment about Kichekesho cha Mume Mlevi na Mke Wake using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here