Kichekesho cha Vichaa wawili

0
3105

VICHAA walikuwa wanasafirishwa kutoka Iringa kwenda Milembe Hospital, Dodoma.

Kufika Mikumi kundi kubwa la SIMBA likapita katikati ya barabara.
DOCTOR akawaambia: Mnawaona SIMBA hao?
KICHAA 1: Ahaaa! Kumbe hawa ndio simba!?
DOCTOR: Hao ndio simba
KICHAA 2: Sasa pale KASEJA ni yupi?
DOCTOR: Du! Kweli huyu kichaa!

Leave your comment about Kichekesho cha Vichaa wawili using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here