Jamaa mmoja handsome boy alikutana na binti tajiri ambaye alikuwa anaishi peke yake. Katika kufahamiana zaidi jamaa akaanguka kimapenzi kwa huyo binti
Siku moja wakiwa kitandani girlfriend akamwambia handsome wake hivi:
Girlfriend: Nikifa wewe ndio mrithi wa hotel yangu ya nyota tano
Boyfriend: Mungu apishe mbali hautakufa baby, kwa nini umesema hivyo?
Girlfriend: Mie ntakufa tu kwani nimeanza kukuzimia kimapenzi ile mbaya