Kichekesho: mchagga na pesa

1
5438

kikatuni cha kuchekesha sana

Mchaga mmoja alipata ajali alipozinduka pale hospitali akauliza “nipo wapi hapa?”

Nesi akajibu,”umepata ajali, hapa upo hospitali. Bahati mbaya umekatika mkono.”

Mchaga Mgonjwa: Na je saa yangu ipo wapi ya Rolex?

Nesi: Ipo mzee, Mkeo na watoto wapo hapa kukufariji.

Mchaga Mgonjwa: Yeuwi… Wamefunga duka?

Leave your comment about Kichekesho: mchagga na pesa using the comment form below

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here