Kichekesho cha Kimombo na Meseji za Kimapenzi

8
37436
Simu na Meseji za Mapenzi

Njemba moja wa mjini alitumiwa meseji na rafiki yake wa kiume ambaye kwa bahati mbaya hakuhifadhi namba yake ya simu yake kwenye simkadi yake. Kutokana na urefu wa meseji ikashindwa kuonekana yote mwishoni ikaandika

‘some text missing…’

kwa vile jamaa kimombo hakishuki hivyo maneno ya mwisho hakuelewa maana yake lakini akahisi litakuwa neno la kimapenzi miss you kutoka kwa mchumba wake

Ili naye aonekane mjanja na anakijua kimombo akajibu hivi,

“some text missing too dear”

Kumbe ile message ilitoka kwa rafiki yake wa kiume

Jamaa ilibidi acheke tuu kwa sababu ya majibu ya swahiba wake

Leave your comment about Kichekesho cha Kimombo na Meseji za Kimapenzi using the comment form below

8 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here