Mahakama Yawatia Hatiani Wakurugenzi Wanne wa DECI na Mmoja Aachiwa Huru

0
1923
Mahakama kuu kisutu na hukumu ya DECI

Mahakama ya kisutu jana ilirule out kesi na kuwatia hatiani wakurugenzi wanne kati ya watano wa kampuni ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI) kwa kuwaadhibu kifungo cha miaka mitatu au faini ya jumla ya Shs milioni 21. Mmoja ameachiwa huru.

Washtakiwa hao ni

 1. Jackson Mtares,
 2. Dominick Kigendi,
 3. Timotheo Saiguran ole Loitginye,
 4. Samwel Mtares
 5. Arbogast Kipilimba

  Washitakiwa wa DECI wakisubiri Hukumu
  Washitakiwa wa DECI wakisubiri Hukumu

Aliyeachiwa huru kwa kukosekana kwa ushahidi ni

 1. Arbogast Francis Kipilimba.

  Mchungaji Arbogast Francis Kipilimba Aliyeachiwa Huru
  Mchungaji Arbogast Francis Kipilimba Aliyeachiwa Huru

Pia Mahakama hiyo iliiamuru serikali kupitia benki kuu (BOT) kuhakiki mali zote za DECI na kwarudishia wateja wanaoidai DECI pesa zao.

Kwa upande wake serikali imesema itafanya hivyo tu kwa wale wateja ambao watatoa visibitisho kuwa wanaidai DECI

NB:  Ikumbukwe kuwa wakati DECI inasimamishwa kufanya shughuli zake ambazo walizifanya kati ya 2007 na 2009 na kukusanya zaidi ya bilioni 14 huku mali zote za DECI hazizidi bilioni 3 hii ni sawa na asilimi kama 15 tu ya wateja wa DECI wanawez akurudishiwa pesa zao

Ikumbukwe pia kuwa:

Wafuatao walihusika na DECI kwa njia moja au nyingine:

 1. Mama Rwakatare alipanda zaidi ya milioni 400 lakini alikwenda kung’oa mbegu muda mfupi baada ya kusimamishwa
 2. Mch Alphonce Temba huyu aliyekuwa amejichimbia kwa Mama Rwakatare , alitembea katika Radio zote na kuhamasisha watu kujiunga.
  Wote hawa wamepona kwa mgongo wa CCM

Hukumu ya DECI Kutoka Mitandao Mingine

Forum: Habari na Hoja mchanganyiko – JamiiForums
http://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/
Habari na Hoja mchanganyiko – Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Usisite, liweke hapa uwahabarishe wenzako.

Magazeti ya Tanzania – Tanzania Newspapers | Magazetini
http://www.magazetini.com/
Soma vichwa vya habari vya magazeti ya Tanzania yote sehemu moja. Vigogo wa mchezo wa Deci wafungwa · Hukumu ya wachungaji wa Deci kutolewa leo.

Hukumu ya DECI leo – HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/14536-hukumu-ya-deci-leo
26 Jul 2013 HUKUMU ya kesi ya kuendesha na kusimamia mchezo wa upatu inayowakabili wakurugenzi wa Taasisi ya Deci , inatolewa leo katika 

hukumu viongozi deci kutolewa leo – Majira
http://majira-hall.blogspot.com/2013/07/hukumu-viongozi-deci-kutolewa-leo.html
26 Jul 2013 HUKUMU VIONGOZI DECI KUTOLEWA LEO. Na Rehema Mohamed. HATIMAYE Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo inatarajiwa kutoa 

Father Kidevu
http://mrokim.blogspot.com/
1 hour ago Hayo yalibainika hii leo wakati wa hukumu ya kesi hiyo iliyodumu kwa ya Development Entrepreneurship for Community Initiative (DECI

MPEKUZI
http://freebongo.blogspot.com/
6 hours ago Kabla ya hukumu, Hakimu Katemana, aliwapatia nafasi mawakili wa kati ya mwaka 2007 na Machi 2009, katika makao makuu ya DECI 

Magazeti ya Tanzania – Tanzania Newspapers | Magazetini
http://www.magazetini.com/
VIGOGO DECI CHINI YA ULINZI · Vigogo wa mchezo wa Deci wafungwa · Hukumu ya wachungaji wa Deci kutolewa leo · Mabomu yarindima Mwanza 

Unaikumbuka DECI? Hukumu leo – Tanzania Mwandi
http://blog.tanzaniamwandi.co.tz/kesi-ya-deci-kuhukumiwa-leo/
saa 23 zilizopita Msomaji utakumbuka kuwa kati ya mwaka 2007 na mwaka 2009 taasisi ya DECI ndio iliibuka huku wachungaji hao wakikusanya fedha kwa 

EDDY BLOG | Hapa Kazi Tu
http://eddymoblaze.blogspot.com/
dakika 40 zilizopita Hayo yalibainika hii leo wakati wa hukumu ya kesi hiyo iliyodumu kati ya mwaka 2007 na Machi 2009 katika Makao Makuu ya DECI, Mabibo, 

THE SBA NUMBER ONE | KDADDYCOOL
http://kandorodaddycool.blogspot.com/
dakika 39 zilizopita Hayo yalibainika hii leo wakati wa hukumu ya kesi hiyo iliyodumu kati ya mwaka 2007 na Machi 2009 katika Makao Makuu ya DECI, Mabibo, 

MPEKUZI HURU
http://www.mpekuzihuru.com/
Alisema kuwa fedha za wateja wa DECI walizopanda zirejeshwe kwa wateja Kabla ya hukumu, Hakimu Katemana, aliwapatia nafasi mawakili wa pande zote  

Mandy entertaiment | Facebook
https://www.facebook.com/pages/Mandy-entertaiment/147533568681728
HUKUMU YA DECI LEO. HUKUMU ya kesi ya kuendesha na kusimamia mchezo wa upatu inayowakabili wakurugenzi wa taasisi ya Deci, inatolewa leo katika 

dar24.com – Photos | Facebook
https://www.facebook.com/pages/dar24com/430798016937361%3Fsk%3Dphotos_albums
HUKUMU YA DECI KUTOLEWA LEO Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi · Timeline Photos. 314 photos. Mazingira.

Mwananchi: mwanzo – Gazeti la habari za kiswahili la kila siku …
http://www.mwananchi.co.tz/
Hukumu ya wachungaji wa Deci kutolewa leo · Mtoto wa Mangula afariki ajalini Dar · Mke anayedaiwa kutaka kumuua mumewe kortini · Jukata waitaka Nec 

MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG
http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/
Kesi hiyo ambayo imeunguruma kwenye mahakama ya Kisutu jijini Dar takribani miaka minne, kupitia kwa hakimu wake, Aloyce Katemana ilitoa hukumu hiyo 

 

Leave your comment about Mahakama Yawatia Hatiani Wakurugenzi Wanne wa DECI na Mmoja Aachiwa Huru using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here