Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

0
171
Dr Shukuru Kawambwa na Matokeo ya Kidato cha Nne 2012

Dr Shukuru Kawambwa na Matokeo ya Kidato cha Nne 2012Waziri wa Elimu Dr Shukuru Kawambwa atangaza matokeo Kidato cha Nne 2012/2013 ambayo ni mabovu kuliko maelezo huku akitababsabu an kutoonyesha hata hali ya masikitiko.

Nimejaribu kuchambua matokeo hayo yaliyotangazwa na nikagundua Tanzania kuna janga la kitaifa katika sekta ya elimu, pengine zaidi hata ya alivyoona Mbatia.

DarajaWanafunziAsilimia

Matokeo halisi

I             1,641

0.45%

2.20%

Waliofaulu
II             6,453

1.75%

III           15,426

4.19%

4.19%

Wastani
IV         103,327

28.10%

93.60%

Wamefeli
0         240,903

65.51%

Jumla         367,750

Haya Matokeo ya Div 0 kwa wanafunzi 240,903 kati ya 367,750 sawa na 65.51% inatufunza nini Watanzania? Au ndio tuseme mgomo ule wa Waalimu unaendelea?

Je ni sisi tu ndio tunaona na serikali haioni au ndio itaunda tume ya kuchunguza?
Je kwa matokeo haya wabunge watakubali kuirudisha bungeni hoja ya Mbatia?
Mimi nimetetemeka (Nahisi ndio maana walitaka kuchelewesha matokeo huko nyuma)

Leave your comment about Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.