Haijawahi kutokea sio tu Tanzania bali hata Afrika nzima kwa watu waliohuduma katika ngazi za juu kabisa serikalini na katika chama tawala kujiunga na upinzani
Waziri mkuu mstaafu Fredrick Sumaye naye atangaza kujiunga na UKAWA basi hii itakuwa imekiua CCM kwa knockout