Maziwa Makubwa au Makuu Duniani Yapo Tanzania/East Africa

0
36

Maziwa makubwa kabisa kwa urefu wa kina, ukubwa wa maji na ukubwa wa eneo yapo Tanzania/East Africa na ndio maana inaitwa ukanda wa maziwa makuu au kwa kimombo "The Great Lakes Region"


Tanganyika ni la pili kwa ukubwa wa maji duniani yaani water volume, ziwa nyasa ni la tano duniani wakati ziwa Victoria ni la tisa kwa ukubwa wa maji water volume

 

Ziwa Victoria ni la tatu duniani kwa ukubwa wa eneo yaani area coverage, Tanganyika ni la sita kwa ukubwa wa eneo na Ziwa Nyasa ni la tisa kwa ukubwa wa eneo.

 

Ziwa Tanganyika ni la pili duniani kwa kina kirefu wakati ziwa nyasa ni la sita kwa kina kirefu duniani

 

Kwa kuweka sawa zaidi nimeweka kwenye table

By water volume (Ukubwa wa maji au wingi wa maji)

Jina

Nafasi duniani

Ziwa Tangayika

2

Ziwa Malawi/Nyasa

5

Ziwa Victoria

9

 

By area coverage (ukubwa wa eneo)

Jina

Nafasi duniani

Ziwa Victoria

3

Ziwa Tangayika

6

Ziwa Malawi/Nyasa

9

 

By depth (urefu wa kina)

Jina

Nafasi duniani

Ziwa Tangayika

2

Ziwa Malawi/Nyasa

6

Ziwa Victoria

 

Leave your comment about Maziwa Makubwa au Makuu Duniani Yapo Tanzania/East Africa using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here