Mbowe na Mtei Wakihama CHADEMA

0
40
Kumekuwa na hoja dhaifu kwamba eti Probas Katambi kuondoka ni pigo, pengo na chama kinayumba.
Kwamba eti Katambi alikuwa mtu muhimu sana CHADEM. Ukweli ni kwamba kila mtu kwenye chama ni wa muhimu kwa nafasi yake. Chama ambacho mtu mmoja anakuwa muhimu kuliko wengine hicho chama ni mfu kabisa inasubiri tu kuzikwa. 
Kwa kuweka kumbukumbu tu ndani ya alianza kuondoka Dr. Kaborou, akafuata Dr Lamwai, akafuata Zito Kabwe, akafuata Dr Slaa na wengine wadogo wadogo wengi tu. La ajabu ni kwamba kila akiondoka anayedhaniwa ni muhimu inazidi kuimarika. Katambi ni mtu mdogoooo sanaaa compared to those others. Ameondoka shhudia itakavyoongezeka. 
,Chama ni zaidi ya individual. Hata akiondoka Mbowe na Mtei Chama kitaimarika WHY? KWA SABABU CHAMA NI YA WANACHAMA AMBAO WANAZIDI KUONGEZEKA KILA WAKATI.

Leave your comment about Mbowe na Mtei Wakihama CHADEMA using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here