Meseji ya kichekesho cha mgonjwa na Vyakula

2
10161

Yani leo tena naumwa kwelli nipo hoi siwezi hata kula.

Hasubuhi yenyewe nimekula tu

chapati 9

maandazi 7

viazi vitamu

wali sahani 7

alafu kiporo sahani 2 tu,

tambi coz sizipendi sana nimekula sahani 4 tu

Nimeweza pia kunywa uji wa mchele, uji wa ulezi na uji wa ngano

Nimejaribu kula mihogo ya kuchemsha nikafanikiwa kwa kudra za mnyazi mungu kula 12 tu

kulikua na kiporo cha makande ndo nimejazia jazia tu ivo ivo kigonjwa gonjwa na hayo magimbi na maboflo 6 na hizo chapati 9 ya kumimina. Sa hivi ndo twatoka kwa kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula.

Nimekonda kweli rafiki yangu nahitaji maombi yako ili hamu ya kula inirudie.

kaniandikia dozi hii

Eti nitume ujumbe huu kwa watu watano kwa njia ya ujumbe mfupi bila kuondoa hata nukta moja nami nitapona.

Pia ameniambia niwaombe marafiki zangu wote wasome ujumbe huyu na kuchangia maoni yao ya namna gani niweze kupona haraka

Pia ameniambia niwaombe marafiki zangu wote wasambaze ujumbe huu bila kubadilisha hata nukta moja kwa marafiki zao na marafiki wa marafiki zao kwenye mitandao ya kijamii na barua pepe zao.

Wewe kama rafiki yangu wa kweli naomba ufanye kama alivyoniagiza ili nipone haraka

Asante kwa msaada wako

Ni mimi LPK

https://www.kivuyo.com

Acha maoni yako kuhusu kwa kutumia fomu hapa chini

2 Maoni

Weka majibu hapa

Tafadhali weka maoni
Tafadhali weka majina yako hapa