Meseji ya Vichekesho Msikitini

2
9962
Vichekesho Msikitini

Vichekesho MsikitiniRafiki yangu mmoja kanitumia hii meseji ya vichekesho iliyotokea msikitini nikaona niitupe humu ndani na wengine wacheke kidogo. Fuatilia mwenyewe hapa chini

Jamaa mmoja aliingia msikitini na panga mkonon huku jasho likimtoka, akauliza ” Ni nani muislamu humu ndani? Wote wakauchuna. jamaa akarudia tena “nauliza tena ninani muislamu humu? wote kimya . Jamaa akamshika mkono muumini wa kwanza kwenye safu ile ya nyuma, aliyekuwa karibu ya mlango na akatoka nae nje. Alivyotoka nae nje akamuuliza kama ni muislamu ili amchinjie mbuzi wake. Yule muumini akamjibu naamna ndie. Jamaa akamjibu, “naomba unichinjie mbuzi wangu” Yule muumini akamchinja yule mbuzi ila akamwambia  “kuchuna ngozi siwezi labda ukamchukue muumini mwengine” Jamaa ghafla akarudi tena msikitini kwa bahati mbaya akasahau akaingia ndani na panga linavuja damu imamu kuona hivyo akawasihi waumini wote waseme tumsifu Yesu kristo na waumini wakadakia tena kwa haraka ‘milele amina.

Itaendelea…

Leave your comment about Meseji ya Vichekesho Msikitini using the comment form below

2 COMMENTS

  1. sikia hiii nilicheka mpaka machozi yakanitoka ,siku moja tulikwenda mzika albino kuree kwetu nchini mara,moghabiri ujammaa village,baada ya mazishi wana ndugu waliamua kulinda kaburi kwa siku mbili tatu hivi ili kwamba isije ikatokea mtu yoyote akafanya mambo ya ushirikina, ikiwa ni pamoja na kuiba viungo muhimu vya ndugu yao,sa muziki huu nani atauweza.mimi nikajitolea pamoja na vijana watatu kwa masharti ya kununuliwa gongo na bangi iri wafanye kazi hiyo,basi ikawa powa gongo bangi zikanunuliwa za kutosha tu,usiku tukaenda kuanza kazi yetu ya ulinzi na bahati nzuri vijana wale waliwahi kufika eneo ra tukikio,tukachagu sehemu yenye mti mkubwa sana mahari pare tukajibanza,kiurinzi,vijana wakapiga bangi zaoooo’lakini rizimu haipandi,nika chepuka kidogo na simu yangu ya mchina wkt huo ndo zinaingiaingia,nikaweka alarm ya mlio wa paka pindi ifikapo saa nane,nikaweka safi nikarudi kundini kuendelea na kazi yetu,saa nane ikagonga tiiiiiiiii,mlio wa paka kama mnavyojua simu ya mchina haina dogo sauti kubwaaaaa, kama kazi””””’nakwambia wale vijana walitimua mbioooooo’ yeh”””””’ sijawahi ona,mmoja alikutwa kazimia barabarani na kojo juuu chwaaaaaaa. na mwingine alikutwaa kituo cha polisi na bangi zakke haongei ana gunaaa tu jamani acheni makaburini kuna tingisha hata bangi

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here