Mh Edward Lowassa Ndani ya Dala Dala Gongo la mboto – Chanika

0
1027
Mh Edward Ngoyai Lowassa Akisafiri kwa Daladala Leo 24 Agosti 2015 Kuangalia Kero za Wananchi

Mwanzoni nilidhani ni Uongo kumbe ni kweli. Haya ni majibu ya mwanzo tu ya jangwani jana ya akina Mkapa, Makongoro, Mwinyi, Nape, Warioba na wengineo

Mh Edward Ngoyai Lowassa Akisafiri kwa Daladala Leo 24 Agosti 2015 Gongolamboto – Chanika ili kuhakikisha kuwa yeye ni mzima na anaweza fanya lolote kwa ajili ya walalahoi

Leave your comment about Mh Edward Lowassa Ndani ya Dala Dala Gongo la mboto – Chanika using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.