Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Hafurahishwi na Mjadala Unaoendelea wa Kuongeza Muda wa Rais

0
28
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anasikitishwa na hafurahishwi na mjadala unaoendelea wa kuongeza muda wa Urais kutoka miaka mitano kwenda saba. Aliyasema hayo katika mazungumzo na Katbu wa halmashauri kuu ya CCM itikadi na uenezi, Ndg Hamphrey Polepole

Barua ya Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais, IKULU imeambatanishwa

?
?

Leave your comment about Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Hafurahishwi na Mjadala Unaoendelea wa Kuongeza Muda wa Rais using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here