Misemo ya Wabunge Bungeni Tanzania

3
6326

Je wajua hii misemo ya wabunge bungeni?

Wabunge wa bunge la Tanzania kwa nyakati tofauti ndani na nje ya bunge wamekuwa wakitoa misemo mbalimbali na ya ajabu yenye kujenga, kubomoa na kuchekesha kila mtu aliyesikia, ona kwa macho au kupitia TV au kusoma magazetini

Rais ni Mdhaifu

-John Mnyika

Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya udhaifu wa Rais

-John Mnyika

Problems cannot be solved by the same level which create them

-Mch. Peter Msigwa

Mchungaji wa Mbuzi na Kuku

-Mangunga

F. U. C. K , You

-Serukamba

Rais ndiye chanzo cha vurugu za kidini

-Godbless Lema

Dhambi mbaya kuliko zote duniani. Ni woga

-Godbless Lema

Waziri mkuu aliidanganya serikali

-Godbless Lema

Wapinzani wanangoa watu kucha na meno

-Manyanya na Mwingulu

Siongei na mbwa naongea na mwenyembwa

-Nkamia.

Wapinzani ni wahuni

-Samwel Sitta

Mhuni ni wewe mwenye kadi mbili ya CCM na CCJ

– Upinzani – CHADEMA

Wanaume wanapoongea watoto wakiume wakae chini
Mwigulu Nchemba

Leave your comment about Misemo ya Wabunge Bungeni Tanzania using the comment form below

3 COMMENTS

  1. I think this is one of the most important information for me.
    And i am glad reading your article. But wanna remark on some general
    things, The site style is wonderful, the articles is
    really great : D. Good job, cheers

  2. Msemo wa lema ni wa kwel na unajenga, kwa kuwa hata Franklin Roosvelt rais wa 32 wa Marekani amewahi kuutumia. “woga”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here