Ukweli kuhusu Umri wa Miss Tanzania 2016 Diana Edward Lukumai

0
222
Diana Edward Loy Miss Tanzania 2016-17 Akiwa na Wenzake Top-5
Mshindi wa Miss Tanzania 2016, Diana Edward Loy akiwa na washindi wanne wa kwanza katika kinyang’anyiro cha Miss Tanzania 2016 jiji Mwanza usiku wa kuamkia Jumamosi ya Tarehe 29 Octoba 2016. CHANZO GSengo

Usiku wa Jumamosi, mrembo wa Kinondoni, Diana Edward Loy alitwaa taji la Miss Tanzania 2016 katika fainali zilizofanyika jijini Mwanza.

Diana Edward Loy Miss Tanzania 2016-17Hata hivyo pamoja na ushindi huo, haikuchukua muda akaanza kuubeba mzigo wa umaarufu kwa kusambaa taarifa zinazohusiana na umri wake.

Taarifa iliyosambaa ilisema:

MISS TANZANIA 2016
??????
JINA:Diana Edward Lukumai
UMRI:Miaka 18
ELIMU:Shahada(degree)
Hii ina maana;
Alianza Chuo akiwa na miaka 15
Alianza Form one akiwa na miaka 9
??????
Ingawa sio mshabik wa haya mambo napenda nchukue hii nafasi kuwapongeza Wazazi wote kama wazazi wa Diana ambao watoto wao wameanza shule ya msingi wakiwa na miaka miwili.

0-1miss-tanzania20

Baada ya kumalizika kwa maswali, majibu sasa ikawa ni fursa ya mrembo aliyekuwa anashikilia taji
Baada ya kumalizika kwa maswali, majibu sasa ikawa ni fursa ya mrembo aliyekuwa anashikilia taji

Katika kujibu shutuma hizo za mitandao ya kijamii, kaimu afisa habari wa mrembo huyo, Charles William alilazimika kutoa taarifa sahihi kwa vyombo vya habari za mshindi huyo kama ifuatavyo:

Napenda kuujulisha Umma yafuatayo;

  1. Miss Tanzania 2016/2017 aliyeshinda taji jana jijini Mwanza, anaitwa Diana Edward Loy na siyo Diana Lukumai kama inavyotajwa mitandaoni.
  2. Mlimbwende huyo amemaliza kidato cha nne 2015 Shule ya Sekondari Arusha Day na si 2011 kama inavyotajwa mitandaoni kwa malengo ovu.
  3. Diana hajawahi kujiunga na Elimu ya Chuo Kikuu chochote Tanzania au duniani bali anatarajia kujiunga mwaka huu katika chuo cha IFM kusomea masula ya kodi ngazi ya stashahada (cheti) ingawa kulingana na ratiba zake na majukumu yake mapya ikiwemo kushiriki Miss world mapya huenda akaahirisha mwaka wake wa masomo.
  4. Tunawasihi watanzania kutumia vyema mitandao ya kijamii na si kufanya “Character assassination” lakini pia tunaheshimu haki yao ya msingi ya kuhoji masuala ya msingi kabisa kuhusu mtu ambaye ni Public figure na ataliwakilisha taifa katika anga za kimataifa.

Tumuunge mkono mlimbwende wetu ili atul

Save

Leave your comment about Ukweli kuhusu Umri wa Miss Tanzania 2016 Diana Edward Lukumai using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here