Mjadala Kati ya Ronaldo na Messi Nani Zaidi Wafungwa Rasmi

0
403
Christian Ronaldo na Picha ya Pamoja na Wenzake Baada ya Kunyakua Kombe la UEFA Euro 2016
Wahasimu wa Messi wanadai;
  • Messi ana Aguero, Di Maria na Higuan lakini wakashindwa kutwaa kombe la Copa America
  • Ronaldo ana Nani, Ader na Quaresma na akashinda kombe la UEFA EURO

Mchezo wa jana wa Fainali za UEFA Euro 2016 katika jiji la Paris kwenye uwanja wa Stade de France umemaliza mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na Ronaldo.

Messi hawajawahi kuishindia kikombe cha kimataifa timu yake ya Taifa na kashastaafu soka wakati Ronaldo jana aliweza kukiongoza kikosi chake hadi kuwa mabingwa wa UEFA Euro 2016 baada ya Ureno kumfunga Ufaransa katika dakika ya 109.

Christian Ronaldo na Picha ya Pamoja na Eder Mfungaji wa Goli Pekee Fainali za Euro 2016
Christian Ronaldo na Picha ya Pamoja na Eder Mfungaji wa Goli Pekee Fainali za Euro 2016

Ronaldo jana alicheza kufa na kupona ndani na nje ya uwanja hadi kimeeleweka. Hata baada ya kuumizwa na kutolewa nje ya uwanja, Ronaldo hakukaa kwenye kiti mpaka refa anapuliza kipenga change mwisho wa mpira katika dakika ya 120 +2 za ziada

Kweli Ronaldo ni Zaidi ya Messi

Leave your comment about Mjadala Kati ya Ronaldo na Messi Nani Zaidi Wafungwa Rasmi using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here