Hawana shida na siasa?
Marafiki wamemchangia kuanzisha miradi mikubwa ya kujikimu??
Wataanzisha shule na hospitali
watatumia 20% ya ghrama kwa mapato yao waliohifadhi
Swali hao marafiki ni akina nani?
Je hao marafiki
ni pamoja na ya hao walliomfadhili kumshambulia Lowassa na CHADEMA?