MUME BORA WA MWAKA!!

0
9005

Mke: Naomba tuongee mume wangu

Mume: Ongea

Mke: Ni kuhusu huyu House Girl wetu

Mume: Hilo ni tatizo lako, Halinihusu

Mke: Ana mimba.

Mume: Hilo ni tatizo Lake, Halinihusu!

Mke: Kasema ni yako

Mume: Hilo ni tatizo Langu, Halikuhusu

Mke: Majirani wanaongea.

Mume: Hilo ni tatizo lao, Hayatuhusu

Leave your comment about MUME BORA WA MWAKA!! using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here