Mwanamke Mwendesha Baiskeli Akoswakoswa Kugongwa na Treni

0
1722
Akoswakoswa Kugongwa na Treni

Mwanamke mmoja akiendesha baiskeli alikoswakoswa kugongwa na treni akivuka reli kimakosa. Mwanamke huyo alishika breki kwa kasi zaidi ya treni na kufanikiwa kurudi nyuma muda mfupi baada ya treni iliyokuwa ikienda kwa kasi kupita. Mwanamke huyo alichanganyikiwa sana kiasi cha kutulia kuwaza na baadaye kuamua kurudi alikotoka hata baada ya kuruhusiwa kuendelea na safari yake.

Polisi wanaendelea kumtafuta mwendesha basikeli huyo aliyehatarisha maisha yake kwa kukiuka tahadhari za taa zilishoonyesha kwamba treni inapita.

Tukio hilo lilitokea katika mji wa Cambridgeshire huko Uingereza.

Angalia video iliyowekwa kwenye mtandao wa  youtube baada ya kutolewa hadharani na polisi ili iangaliwe na watu wote na kuelimika.

Inasemekana kuwa treni zaidi ya 100 hupita kwenye vivuko huko Uingereza kila siku zikiendeshwa katika spidi ya 120KPH

Leave your comment about Mwanamke Mwendesha Baiskeli Akoswakoswa Kugongwa na Treni using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here