Nchi 5 Zinazoongoza Duniani kwa Kugharamia Utalii ni Hizi Hapa:
Nchi | Jumla ya Matumizi ktk Mabilioni za Dola za Kimarekani |
1. Ujerumani | 71.0 |
2. Marekani | 65.6 |
3. Uingereza | 55.9 |
4. Japani | 38.0 |
5. Ufaransa | 28.6 |
Chanzo Chetu:: World Tourism Organization. 2004 |