Home Blog Page 305

Je Wajua Nchi 5 Zinazoongoza Duniani kwa kugharamia Utalii?

0

Nchi 5  Zinazoongoza Duniani kwa Kugharamia Utalii ni Hizi Hapa:

Nchi Jumla ya Matumizi ktk Mabilioni za Dola za Kimarekani
1. Ujerumani 71.0
2.  Marekani 65.6
3.  Uingereza 55.9
4.  Japani 38.0
5.  Ufaransa 28.6

Chanzo Chetu:: World Tourism Organization. 2004

Je Wajua Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani?

0

Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani ni Misri.

Misri ya kale yakadiriwa miaka 3,000 iliyopita ndiyo jamii kubwa iliyostaarabika kutokea Duniani. Wamisri waliishi kandokando ya mto Nile na kitamaduni walistaarabika katika namna wanavyoongea, wanavyoabudu, wanavyoelewa na kuchukulia ulimwengu wa kaisili, walivyojiendesha kwa serikali mbalimbali, walivyoishi, walifanya matukio ya kijamii na burudani mbali mbali, na jinsi walivyojihusisha na wengine ambao hawakuwa wamisri.

Je Wajua Mito 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani?

1
River Nile Map
River Nile Map

River Nile Photo
River Nile Photo

Mito 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani ni Hizi Hapa

Jina la mto

Urefu kwa KM/Maili

1.  Nile, Africa

6695 km/4160 mi

2.  Amazon, South America

6400 km/4000 mi

3.  Yangtze, Asia

6300 km/3900 mi

4.  Mississippi-Missouri-Red Rock, NorthAmerica

5970 km/3710 mi

5.  Yenisey-Angara, Asia

5550 km/3450 mi

6.  Huang He (Yellow River), Asia

5464 km/3395 mi

7.  Ob’-Irtysh, Asia

5410 km/3362 mi

8.  Río Paraná-Rio Grande, SouthAmerica

4500 km/2800 mi

9.  Amur-Shilka, Asia

4416 km/2744 mi

10. Lena, Asia

4400 km/2700 mi

Je Wajua Miji 20 Kubwa Kuliko Zote Duniani?

0
Tokyo City Today
Jiji la Tokyo ya Leo

Tokyo City Today
Jiji la Tokyo ya Leo

Miji 20 Kubwa Kuliko Zote Duniani ni:

Na Mji/Nchi Makadirio ya Watu Ktk Milioni
2003 2010
1 Tokyo, Japan 35 43.93
2 Mexico City, Mexico 18.7 23.47
3 New York, United States 18.3 22.97
4 São Paulo, Brazil 17.9 22.47
5 Mumbai, India 17.4 21.84
6 Delhi, India 14.1 17.70
7 Kolkata (Calcutta), India 13.1 16.44
8 Buenos Aires, Argentina 13 16.32
9 Shanghai, China 12.8 16.07
10 Jakarta, Indonesia 12.3 15.44
11 Los Angeles, United States 12 15.06
12 Dhaka, Bangladesh 11.6 14.56
13 Osaka, Japan 11.2 14.06
14 Rio de Janeiro, Brazil 11.2 14.06
15 Karachi, Pakistan 11.1 13.93
16 Beijing, China 10.8 13.56
17 Cairo, Egypt 10.8 13.56
18 Manila, Philippines 10.4 13.05
19 Paris, France 9.8 12.30
20 Seoul, South Korea 9.7 12.18

Chanzo chetu: UN Population Division. Records 2003 Population

Je wajua Rais aliyeko madarakani kwa muda mrefu kuliko wote duniani?

1

Rais aliyekaa madarakani kwa muda mrefu ni rais wa Libya hayati Col. Muammar Gaddafi, Africa. Amekaa madarakani kuanzia mwaka 1969 mpaka2011. alipouawa tarehe 20 October 2011 katika vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa takriban mwaka mmoja Dec 2010 mpaka Nov 2011

Je wajua rais aliyekaa madarakani kwa muda mrefu kuliko wote duniani?

0

Rais aliyekaa kwa muda mrefu kuliko wote ni rais Omar Bongo wa Gabon. Africa ndiye rais aliyetawala kwa muda mrefu kuliko wote duniani. Yey alijiita “rais wa maisha wa Gabon”. Omar Bongo alitawala Gabon kwa miaka 42 tangu Novemba 28, 1967 na alifariki nchini Hispania akiwa na miaka 73.

Picha ya rais wa Bongo ya mwezi wa Februari 2006 kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa, Geneva Uswiss (Majuu)

Chanzo chetu:   http://www.npr.org/blogs/thetwo-way/2009/06/bongo_worlds_longest_serving_p.html

[visitor-maps]

Mpya