Home Blog Page 329

Je wajua wafanyakazi wa Michele Obama?

0

 

wafanyakazi wa Michele Obama

Michele Obama ana wafanyakazi wapatao 22 na mishahara yao ni kama ilivyoonyeshwa hapa chini:

Wa kwanza .. $ 172,200 – Sher, Susan (Mkuu wa Wafanyakazi)
wa pili .. $ 140,000 – Frye, Jocelyn C. (Naibu Msaidizi wa Rais na Mkurugenzi wa Sera na Miradi Kwa Lady Kwanza)
Tatu .. $ 113,000 – Rogers, Desireé G. (Special Msaidizi wa Rais na White House wa Jamii kwa Katibu Bi Obama)
Nne .. $ 102,000 – Johnston, Camille Y. (Special Msaidizi wa Rais
Na Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa ajili ya mke wa rais)
Tano .. $ 100,000 – Winter, Melissa (Special Msaidizi wa Rais na Naibu Mkuu wa Wafanyakazi na Mwanamke wa Kwanza)
Sita .. $ 90,000 Madina, David S. (Naibu mkuu wa wafanyakazi na Mwanamke wa Kwanza)
Saba .. $ 84,000 – Lilyveld, Catherine M. (Mkurugenzi na Katibu wa Press Lady Kwanza)
Nane .. $ 75,000 – Starkey, Frances M. (Mkurugenzi wa ratiba na Advance kwa Lady Kwanza)
Tisa .. $ 70,000 – Sanders, Transilvania (Naibu Mkurugenzi wa Sera na Mradi wa Lady Kwanza)
Kumi .. $ 65,000 – Burnough, Erinn (Naibu Mkurugenzi na Naibu Katibu wa Jamii)
Kumi na moja .. $ 64,000 – Reinstein, Joseph B. (Naibu Mkurugenzi na Naibu Katibu wa Jamii)
Kumi na mbili .. $ 62,000 – Goodman, Jennifer R. (Naibu Mkurugenzi wa ratiba na Matukio Mratibu Kwa Lady Kwanza)
Kumi na tatu .. $ 60,000 Fitz, Alan O. (Naibu Mkurugenzi wa Advance na Mkurugenzi Safari
Kwa Lady Kwanza)
Kumi na nne .. $ 57,500 – Lewis, Dana M. (Special Msaidizi na Aide binafsi na Mwanamke wa Kwanza)
Kumi na tano … $ 52,500 – Mustaphi, Semonti M. (Associate Mkurugenzi na Naibu Katibu Mkuu Press Ili Lady Kwanza)
Kumi na sita .. $ 50,000 – Jarvis, Kristen E. (Special Msaidizi kwa ratiba na Kusafiri Aide Ili Lady Kwanza)
Kumi na saba .. $ 45,000 – Lechtenberg, Tyler A. (Associate Mkurugenzi wa Mawasiliano Kwa Lady Kwanza)
Kumi na nane .. $ 43,000 – Tubman, Samanth a (Naibu Mkurugenzi Mshiriki, Jamii Ofisi)
Kumi na tisa .. $ 40,000 – Boswell, Joseph J. (Mkurugenzi Msaidizi wa mkuu wa wafanyakazi na Mwanamke wa Kwanza)
Ishirini .. $ 36,000 – Armbruster, Sally M. (Staff Msaidizi wa Katibu wa Jamii)
Ishirini na moja … $ 35,000 – Bookey, Natalie (Staff Msaidizi)
Ishirini na mbili .. $ 35,000 – Jackson, Deilia A. (Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Associate kwa Lady Kwanza)
(Jumla ya $ 1,591,200 katika mishahara ya kila mwaka)

 

Dondoo ya Fainali za Klabu Bingwa ya Afrika AFCON 2012 (Africa Cup of Nations 2012)

0

zambia in AFCON 2012 Africa Cup of NationsYafuatayo ni Dondoo ya Fainali za Klabu Bingwa ya Afrika, AFCON 2012 (Africa Cup of Nations 2012) yaliyofanyika nchini Gabon, Zambia washinda kome la mataifa ya Afrika 2012 kwa mara ya kwanza na kuwaenzi vizuri mashujaa wenzao walifariki duniani miaka takribani 19 iliyopita

Fainali za 28 za Afrika 2012 ni kati ya Ivory Coast na Zambia

Uwanja ni wa Stade de l’Amitie huko Libreville, Gabon

Refarii alikuwa ni msenegali Badara Diatta

Wachezaji

Ivory Coast:

Boubacar Barry; Siaka Tiene, Kolo Toure, Souleyman Bamba, Jean-Jacques Gosso Gosso; Didier Zokora, Cheik Tiote, Yaya Toure, Gervinho; Salomon Kalou, Didier Drogba.

Zambia:

Kennedy Mweene; Joseph Musonda, Stoppila Sunzu, Hichani Himoonde, Davies Nkausu; Nathan Sinkala, Chisamba Lungu, Isaac Chansa, Rainford Kalaba; Chris Katongo, Emmanuel Mayuka

Baadhi ya watu maaufu waliokuwepo uwanjani ni pamoja na:

 • Rais wa Gabon, Ali Bongo,
 • Rais wa Equatorial Guinea Obiang Nguema,
 • Rais wa CAF Issa Hayatou,
 • Rais wa Fifa chief Sepp Blatter,
 • Mfalme wa soka duniani, Pele wa brazil
 • Marais wawili wa zamani wa Zanbia akiwemo Kenneth Kaunda – ambaye kwa kupenda mpira na kuwa mmoja wa marais walioborehsa sana mpira wa Zambia mpaka timu kwa wakati Fulani ikaitwa “KK Eleven”
 • Rais wa UEFA, Michel Platini

Mpaka dakika 90, na zile 30 za nyongeza sio Zambia wala Ivory Coast walifunga goli

Didier Drogba apoteza penalti kwa kupaiza mpira juu kabisa ya lango la Zambia katika dakika ya 86

Mpira wa penalti

Ivory Coast ndio wanaoanza kupiga mpira wa penalti

 1. Ivory Coast 1-0 Zambia-Cheik Tiote amdanganya kipa wa Zambia
 2. Ivory Coast 1-1 Zambia-Chris Katongo baada ya kusita aingiza bao kwenye kona ya goli
 3. Ivory Coast 2-1 Zambia-Wilfried Bony
 4. Ivory Coast 2-2 Zambia-Emmanuel Mayuka
 5. Ivory Coast 2-2 Zambia-Souleyman Bamba aikosesha Ivory Coast penalty mpira waokolewa na Kipa wa Zambia Kennedy Mweene
 6. Penalty inarudiwa kwani kipa wa Zambia aliwahi kusogea mbele ya mstari
 7. Ivory Coast 3-2 Zambia-Souleyman Bamba
 8. Ivory Coast 3-3 Zambia-Isaac Chansa amdanganya kipa wa Ivory Coast
 9. Ivory Coast 4-3 Zambia-Max Gradel amdanganya kipa wa Zambia
 10. Ivory Coast 4-4 Zambia-Felix Katongo
 11. Ivory Coast 5-4 Zambia-Didier Drogba
 12. Ivory Coast 5-5 Zambia-Kipa wa Zambia, Kennedy Mweene,
 13. Ivory Coast 6-5 Zambia-Siaka Tiene
 14. Ivory Coast 6-6 Zambia-Nathan Sinkala
 15. Ivory Coast 7-6 Zambia-Didier Ya Konan
 16. Ivory Coast 7-7 Zambia-Chisamba Lungu amdanganya kipa wa Ivory Coast
 17. Ivory Coast 7-7 Zambia-Kolo Toure baada ya kukimbia umbali mrefu mpira wake wapanguliwa na kipa wa Zambia Kennedy Mweene
 18. Ivory Coast 7-7 Zambia– Rainford Kalaba
 19. Ivory Coast 7-7 Zambia-Gervinho
 20. Ivory Coast 7-8 Zambia-Stoppila Sunzu

ZAMBIA yashinda kombe la mataifa ya Afrika 2012 kwa mara ya kwanza

 

Je Waijua Siku ya Valentine – Siku ya Wapendanao?

2
Valentine Day - Siku ya Valentine

Historia ya Valentine

je wajua Kadi ya Valentine
Kadi ya Valentine

Historia ya siku ya valentine imetokana na Mtakatifu, Mchungaji/Askofu wa Kanisa katoliki wa miaka ya 496 baada ya Kristo ambaye aliitwa Valentine. Wengine wanamtaja kama Askofu wa kiprotestanti wakati wengine wakimtaja kama a Mtakatifu Padre/Askofu wa Kikatoliki ambao kwa pamoja wana historia iliyofanana. Hata ndani ya Katoliki bado kulikuwa na kutofautiana kwa kumfananisha na kuhani wa huko Roma na askofu wa Temin na wa tatu ni Mchungaji wa Kiprotestanti ambaye taarifa zake hazijulikani ila inaaminika aliishia Afrika katika utumishi wake.

Katika kipindi hicho Papa Gelasius alidhamiria kumuenzi Valentine kwa kuweka siku ya 14 Februari kama siku ya wapendanao duniani.

Historia inaeleza kuwa Askofu Valentine alikuwa akifundisha na kufungisha ndoa za siri kwa vijana wadogo wapendanao ambao walipigwa marufuku kuoana katika sheria za kirumi wakati huo kwa sababu walikuwa bado ni wadogo.

Kwa sababu Valentine alikirimiwa na Mwenyezi Mungu karama za uponyaji, afisa mmoja wa magereza ambaye binti yake alikuwa ni kipofu aliposikia uwezo uliwekwa kwa Askofu Valentine ya uponyaji, alimwendea na kumuomba amponye binti yake apate kuona tena. Valentine alifanya hivyo kwa nguvu za Kimungu na binti huyo akapona na tangu hapo binti wa afisa wa magereza alimpenda Askofu Valentine na wakawa marafiki wa karibu.

Dola ya kirumi iligundua kuwa Valentine alikuwa akifundisha na kufungisha ndoa kwa vijana ambao bado ni wadogo kinyume na sheria za kirumi ambayo ilikataza vijana wadogo kuoa au kuolewa mpaka wakue wakubwa, dola ya kirumi ilimkamata na kumweka ndani mpaka hukumu yake itolewe.

Alihukumiwa kifo baadaye na muda mfupi kabla ya hukumu ya kifo kutekelezwa alimuomba kalamu na karatasi afisa wa magereza na kuandika barua ya kuagana kwenda kwa binti wa afisa wa magereza, maandishi ambayo yanaishi mpaka leo. Barua hiyo ndio inaaminika kuwa kadi ya kwanza ya valentine.

Baadaye valentine mwingine alitokea akampenda binti wa afisa wa magereza lakini maelezo yake haikupewa umuhimu na wanahistoria. Kwa hiyo tarehe 14 Februari kila mwaka ikawa ni siku ya wapendanao duniani. Lakini siku hii ilikuja kuwekwa rasmi kuanzia karne ya 14.

Siku ya valentine ilikuwa kwa umaarufu na ukubwa na katika miaka ya hivi karibuni iligeuka na kuwa ya kibiashara zaidi kwa kuuza kadi nyingi za valentine.

Ukweli Kuhusu Siku Valentine, Tarehe 14 Februari

 1. Zaidi ya kadi milioni 1 sawa na 25% ya kadi zote huuzwa nchini Marekani tu.
 2. Siku ya valentine ni ya pili kwa ukubwa na umaarufu baada ya Krismasi
 3. Siku ya valentine huazimishwa kila mwaka  tarehe 14, Februari
 4. Inakadiriwa kuwa zaidi ya kadi za valentine milioni 50 huuzwa duniani kote
 5. Kadi za valentine kwa umuhimu: huuzwa zaidi kwa waalimu, watoto, wamama, wake, na wapendanao

valentine card - kadi ya valentineAlama Mbalimbali za Kadi ya Valentine na Maana Zake

Moyo — Ni alama ya upendo, inamaanisha kutoa moyo wako kwa umpendae, moyo kuchomwa na malaika mdogo ni ishara kwamba ukimpa moyo wako umpendae tegemea hatari ya kukataliwa.

Malaika mdogo — huyu malaika mdogo kwa kingereza anaitwa Cupid ambaye ina asili and utamaduni katika dola ya rumi na ikiwa na maana ya  mungu wa upendo. Inaaminika kuwa, yeyote aliyechomwa na huyu malaika (mungu wa upendo) hatakufa bali ataangukia katika mapenzi

Ua waridi — Waridi ni ua maarufu duniani kwa kupeana nyakati za sikukuu na yenye alama ya uzuri.

Ua waridi huja na rangi mbalimbali na zote zikiwa na maana tofauti.

 • Nyekundu: ni upendo au mapenzi,
 • Manjano: kwa ajili ya urafiki na uwazi,
 • Nyeupe: ikiwa na maana ya pendo la kweli na uwazi,
 • Pinki: ni rangi ya urafiki na wapendanao,
 • Nyeusi: inamaanisha kuagana kwa wapendanao

Zawadi Zinazotolewa pamoja na Kadi ya Valentine

Mara nyingi, kadi ya valentine inatumwa  na zawadi. Ni vigumu kuandika hapa ni zawadi gani utatuma na kadi hii kwani inategemea sana mguso wa mtu binafsi , jinsia, sababu, majira nk.

Angalia hapa chini baadhi ya zawadi zinazotumwa pamoja  na kadi ya valentine

Pochi, Saa, Simu, Pipi, chocolate,  mikufu, pete, shati, vitu vya urembo vya kuvaa vilivyonakishiwa kwa vito vya dhamani na dhahabu, begi, ua waridi ambalo halijanyauka, Mengine unajua mwenyewe au utaongozwa na mazingira na hali halisi.

yk4zn9

Timu ya soka bora duniani mwaka 2011

0
timu ya soka bora duniani mwaka 2011kwa viwango vya FIFA
Timu ya soka bora duniani mwaka 2011kwa viwango vya FIFA?

real madridTimu ya soka bora duniani mwaka 2011kwa viwango vya FIFA (SHirikisho la Soka Duniani) ni timu ya Taifa la Hispania, Timu za Greece, Norway, Urusi, Italy, Chile, Ghana, Slovenia, Japan zimepanda viwango vya kandanda, timu ya ufaransa imeshuka kiwango cha soka kwa viwango vya FIFA.

 

 

 

Timu zingine 20 bora duniani hizi hapa:-

 1. Hispania 18870
 2. Uholanzi 17230
 3. Ujerumani 14850
 4. Brazil 14460
 5. Argentina 13670
 6. Uingereza 11950
 7. Uruguay 11520
 8. Ureno 10900
 9. Croatia 10750
 10. Greece 10161
 11. Norway 9951
 12. Urusi 9821
 13. Italia 9651
 14. Chile 9471
 15. Ghana 9401
 16. Slovenia 8971
 17. Japan 88212
 18. Marekani 8690
 19. Ufaransa 867-1
 20. Slovakia 8540

Chanzo: FIFA

Je Wajua Ndoa Kongwe/Ndefu Kuliko Zote Duniani?

0
ndoa kongwe kuliko zote duniani

Ndoa kongwe / ndefu kuliko zote duanianiWakati ndoa nyingi zikifungwa na kuvunjika muda mfupi baadaye duniani,sio hivyo kwa Herbert na Zelmyra Fisher wa James City N.C. Zelmyra na Herbert Fisher wameoana tangu 13 May 1924.  Herbert na Zelmyra Fisher wanasema kwamba siri ya ndoa yao kukaa sana ni Mungu na Kanisa

Herbert and Zelmyra Fisher, wa New Bern, North Carolina, wakisimamia kiapo chao cha ’Mpaka kifo kitutenganishe’.  Wangesheherekea siku yao ya 87 tarehe 13 Mei 2011 katika ndoa kama mmoja wao asingefariki had one of them not passed away.

Wakiwa wameoana tangu 1924, walitambuliwa rasmi kama wana ndoa wakongwe duniani na “Guinness Book of Records”  mwaka 2008 baada ya kutimiza miaka 84

Bwana Fisher alifariki tarehe 27 Februari 2011 katika umri wa miaka 105

 

Chanzo: http://straightfromthea.com/2011/05/31/til-death-do-us-part-the-worlds-longest-married-couple-photos/

[starreviewmulti id=0 tpl=31]

Je Wajua Mabilionea na Matajiri Wakubwa Duniani 2011?

0
Mabilionea na Matajiri Wakubwa Duniani 2011

Orodha kamili ya mabilionea na matajiri wakubwa ishirini (20) duniani 2011 hii hapa

[wpcol_1half id=”” class=”” style=””]

Tajiri na bilionea wa kwanza duniani

Carlos Slim Helu wa Mexico

Anamiliki utajiri wa: $74 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011


Chanzo cha utajiri
: Telecom ,


Umri:
71 ,


Uraia
: Mexico

[/wpcol_1half] [wpcol_1half_end id=”” class=”” style=””]

Tajiri na bilionea wa pili duniani

Bill Gates wa Marekani

Anamiliki utajiri wa: $59 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011


Chanzo cha utajiri
: Microsoft, umachinga ,


Umri:
55 ,


Uraia
: Marekani.

[/wpcol_1half_end]

[wpcol_1half id=”” class=”” style=””]

Tajiri na bilionea wa tatu duniani

Bernad Arnault wa Ufaransa

Anamiliki utajiri wa: $41 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011


Chanzo cha utajiri
: LVMH, mali ya uridhi na kuendeleza ,


Umri:
62 ,


Uraia
: Ufaransa

[/wpcol_1half] [wpcol_1half_end id=”” class=”” style=””]

Tajiri na bilionea wa nne duniani

Warren Buffett wa Marekani

Anamiliki utajiri wa: $39 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011


Chanzo cha utajiri
: Berkshire Hathaway, umachinga ,


Umri:
80 ,


Uraia
: Marekani.

[/wpcol_1half_end]

Tajiri na bilionea wa tano duniani

Larry Ellison wa Marekani

Anamiliki utajiri wa: $33 bilioni
Taarifa zilipatikana September 2011


Chanzo cha utajiri
: Oracle, umachinga ,


Umri:
66 ,


Uraia
: Marekani.


Tajiri na bilionea wa kwanza duniani – Carlos Slim Helu wa Mexico

Tajiri na bilionea wa kwanza duniani - Carlos Slim Helu wa Mexico

Anamiliki utajiri wa:$74 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Telecom ,
Umri
: 71 ,
Uraia
: Mexico

Tajiri na bilionea wa pili duniani – Bill Gates wa Marekani

Tajiri na bilionea wa pili duniani - Bill Gates wa Marekani

Anamiliki utajiri wa:$59 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Microsoft, umachinga ,
Umri
: 55 ,
Uraia
: Marekani.

Tajiri na bilionea wa tatu duniani – Bernad Arnault wa Ufaransa

Tajiri na bilionea wa tatu duniani - Bernad Arnault wa Ufaransa

Anamiliki utajiri wa:$41 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: LVMH, mali ya uridhi na kuendeleza ,
Umri
: 62 ,
Uraia
: Ufaransa

Tajiri na bilionea wa nne duniani – Warren Buffett wa Marekani

Tajiri na bilionea wa nne duniani - Warren Buffett wa Marekani

Anamiliki utajiri wa:$39 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Berkshire Hathaway, umachinga ,
Umri
: 80 ,
Uraia
: Marekani.

Tajiri na bilionea wa tano duniani – Larry Ellison wa Marekani

Tajiri na bilionea wa tano duniani - Larry Ellison wa Marekani

Anamiliki utajiri wa:$33 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Oracle, umachinga ,
Umri
: 66 ,
Uraia
: Marekani.

Na. 6 Lakshmi Mittal

Anamiliki utajiri wa:$31.1 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Steel, mali ya uridhi na kuendeleza ,
Umri
: 60 ,
Uraia
: India

Na. 7 Amancio Ortega

Anamiliki utajiri wa:$31 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Zara, umachinga ,
Umri
: 74 ,
Uraia
: Uhispania

Na. 8 Eike Batista

Anamiliki utajiri wa:$30 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Mining, oil, umachinga ,
Umri
: 54 ,
Uraia
: Brazil

Na. 9 Mukesh Ambani

Anamiliki utajiri wa:$27 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: petrochemicals, oil & gas, mali ya uridhi and growing,
Umri
: 53 ,
Uraia
: India

Na. 10 Li Ka-shing

Anamiliki utajiri wa:$26 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Diversified, umachinga ,
Umri
: 82 ,
Uraia
: Hong Kong

Na. 11 Karl Albrecht

Anamiliki utajiri wa:$25.5 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Aldi, umachinga ,
Umri
: 91 ,
Uraia
: Ujerumani

Na. 12 Charles Koch (tie)

Anamiliki utajiri wa:$25 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Diversified, mali ya uridhi na kuendeleza ,
Umri
: 75,
Uraia
: Marekani

Na. 12 David Koch (tie)

Anamiliki utajiri wa:$25 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Diversified, mali ya uridhi na kuendeleza ,
Umri
: 70 ,
Uraia
: Marekani

Na. 14 Christy Walton & family (tie)

Anamiliki utajiri wa:$24.5 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Walmart, mali ya uridhi ,
Umri
: 56 ,
Uraia
: Marekani.

Na. 14 Stefan Persson (tie)

Anamiliki utajiri wa:$24.5 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Hennes & Mauritz ,
Umri
: 63 ,
Uraia
: Sweden

Na. 15 Vladimir Lisin

Anamiliki utajiri wa:$24 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: Steel, umachinga ,
Umri
: 54 ,
Uraia
: Urusi

Na. 16 Liliane Bettencourt

Anamiliki utajiri wa: $23.5 bilioni
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: L’Oreal, mali ya uridhi ,
Umri
: 88,
Uraia
: Ufaransa

Na. 18 David Thomson & family

Anamiliki utajiri wa:$23 bilioni –
Taarifa zilipatikana March 2011
Chanzo cha utajiri
: media, mali ya uridhi ,
Umri
: 53,
Uraia
: Kanada

Na. 18 Sheldon Adelson

Anamiliki utajiri wa:$21.5 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: CasiNas, umachinga ,
Umri
: 77 ,
Uraia
: Marekani

Na. 19 Jim Walton

Anamiliki utajiri wa:$21.1 bilioni –
Taarifa zilipatikana September 2011
Chanzo cha utajiri
: Walmart, mali ya uridhi ,
Umri
: 63 ,
Uraia
: Marekani

Chanzo cha utajiri kikuu: Forbes.com