Home Blog Page 331

Je wajua kuwa Sudan ya Kusini ni Nchi Huru Sasa?

0
Kura ya maoni ya kuigawa Sudani 2011
Wananchi wa sudani ya kusini wakishangilia matokeo ya kura ya maoni juu ya wao wajitenge na Sudan ya kaskazini au la

Je wajua kuwa nchi ya Sudani ya Kusini itakuwa nchi ya kwanza mpya duniani kwa mwaka 2011? Hayo yatatimia baada ya wasudani 98.8% raia wa Sudan ya Kusini walioko ndani na nje ya Sudani ya kusini kupigia ndiyo kwa kura ya maoni ya je Sudani ya kusini ijitenge au la. Tarehe 1 Julai 2011 ni siku muhimu kwa nchi inayodhaniwa kuwa ni ya mwisho kwa umaskini duniani kuwa na uhuru wake na kujitoa kwa iliyokuwa taifa kubwa kuliko zote Afrika. Mji wake mkuu utakuwa Juba na Raisi wa Sudana anatarajiwa kutoa tamko la kuyakubali matokeo leo.  Nchi ya Sudani inayotawaliwa kwa sheria za Kiislamu, (SHARIA) imekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa takribani miaka 20 sasa.

Pamoja na kuwa rasilimali kubwa ya mafuta, lakini haina miundombinu ya kuwezesha kuvuna vizuri mafuta. Miundo mbinu yote yapo Sudani ya kaskazini.

JE WAJUA KUWA CHAMA TAWALA CHA TUNISIA CHA RCD CHAPIGWA STOP

0
CHAMA TAWALA CHA TUNISIA CHA RCD CHAPIGWA STOP

CHAMA TAWALA CHA TUNISIA CHA RCD CHAPIGWA STOPTaarifa kutoka Tunisia zinasema kuwa serikali ya mpito ya Tunisia kupitia kwa waziri wa mambo ya ndani imesimamisha shughuli zote za kilichokuwa chama tawala kilichokuwa kikiongozwa na aliyekuwa Raisi wa Tunisia aliyekimbilia Saudi Arabia, Zine El Abidine Ben Ali. Hatua hiyo ilifikiwa huku ikiosubiri maamuzi ya kikatiba ya kukiua kabisa chama hicho kikongwe cha Tunisia cha RCD ili kupunguza kudidimia kwa usalama wa nchi ambayo inasababishwa kwa uwepo wa chama hicho. Hayo yalitokea baada ya maandamano ya kuupinga utawala wa chama hicho uliosababisha rais Zine El Abidine Ben Ali kuikimbia nchi tarehe 14 Januari 2011

Je wajua baba mdogo kuliko wote duniani?

3
Baba mdogo kuliko wote duniani
Baba mdogo kuliko wote duniani

Baba mdogo kuliko wote duniani huyu hapa na mke wake

Baba mdogo kuliko wote duniani
Kulia ni baba mdogo kuliko wote duniani

Mtoto Face Alfie, ambaye ana miaka 13 (kulia)ndie baba mdogo kuliko wote duniani. Yeye pamoja na rafiki yake wa kike Chantelle Steadman (15) (kushoto) kutoka Sussex County nchini Uingereza waliamua kumzaa Maisie Roxanne mwenye ratili 7  katikati

Chanzo chetu: The Sun

Je wajua harusi za gharama na ghali kuliko zote Duniani?

0
Harusi ghali kuliko zote Duniani
Har
harusi ghali kuliko zote duniani
Harusi ya kwanza kwa ughali duniani – Vanisha Mittal, na Amit Bhatia iliyogharimu milioni 78 dola za kimarekani

Harusi ghali kuliko zote duniani
Harusi ya David Robert Joseph Beckham na Victoria Adams (kutoka katika kundi la Spice Girls) mwezi wa Julai 1999. ilihudhuriwa na watu zaidi ya 200 lakini walioshududia tukio ni marafiki na ndugu wa karibu wapatao 29 tu. Iliajiri wafanyakazi zaidi ya 400

Katika taarifa yetu hii tutaangalia vitu muhimu katika harusi kama vile Aina na idadi ya waalikwa, chakula, keki, gauni la bibi harusi, vifaa vya muziki na mapambo nk. Kwa matajiri mabilionea mara zote hutawaliwa na manukato ya gharama, walikwa wenye majina, watumbuizaji wa muziki maarufu na vitu kama gauni la bibi harusi la gharama, keki ya gharama nk. Mfano Harusi fulani alialikwa mwanamuziki Shakira kwa ndege binafsi ya kwenda na kurudi nje ya Marekani na kuimba njimbo tatu tu kwa kiasi cha dola za kimarekani milioni 3. Keki kutengenezwa  kwa dola za kimarekani laki 300 na Gauni la harusi kwa dola za kimarekani laki 600 nk.

Hebu tuangalie Harusi kumi za kifahari zaidi duniani:


1.  Harusi inayoongoza kwa gharama duniani hii hapa

  • Harusi ya Vanisha Mittal, na Amit Bhatia imetajwa na gazeti la Forbes kama moja ya harusi 1000 za kitajiri zaidi duniani . Ilifanyika katika hoteli ya nyota tano ya Paris hotel na ilichukua siku tano mfululizo ikipambwa na raha zote zilizotakiwa. Huko Ufaransa. Mwanamuziki maarufu Kylie Minogue ndie alipamba hiyo sherehe iliyogharimu kiasi cha $78 millioni. Harusi zingine za kifahari na ghali hizi hapa
Harusi ghali kuliko zote Duniani
Harusi ya kwanza kwa ughali duniani – Vanisha Mittal, na Amit Bhatia
Jina la MhusikaIlipofanyikaGharama katika dola za kimarekaniMwakaIlisheherekewa kwa sikuWaalikwa na watumbuizaji
Vanisha Mittal, na Amit BhatiaUfaransa78 millioniJune, 20045

2.  Harusi ya pili kwa gharama duniani hii hapa

harus ya pili kwa ughali duniani
harusi ya pili kwa ughali duniani -Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum kiongozi wa Dubai na malkia Salama
Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum kiongozi wa Dubai na malkia SalamaDubai44.5 millioni1981720,000

3.  Harusi ya tatu kwa gharama duniani hii hapa

harus ya tatu kwa ughali duniani
Harusi ya tatu kwa ughali duniani ni ya bilionea Andrei Melnichenko wa Urusi na  Aleksandra Kokotovich,
bilionea Andrei Melnichenko wa Urusi na  Aleksandra KokotovichCote D’Azur, France30 millioni2005Christina Aguilera na Whitney Houston

4.  Harusi ya nne kwa gharama duniani hii hapa

Harusi ya nne kwa ughali duniani
Harusi ya nne kwa ughali duniani – Vikram Chatwal ,  na Priya Sachdev
Vikram Chatwal, na Priya Sachdev mwana mitindo na mwigizaji maarufuIndia20 milioni200610600 guest from 26 countries

5.  Harusi ya tano kwa gharama duniani hii hapa (ni kati ya Rooney mshambuliaji wa Manchester United ya Uingereza na Coleen McLoughlin)

Harusi ya tano kwa ughali duniani
Harusi ya tano kwa ughali duniani -Wayne Rooney & Coleen McLoughlin
Wayne Rooney na Coleen McLoughlinPortofino15 millioni2008464

Je wajua Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani?

0
Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani
Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani

Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani ni Suhas Gopinath wa India

Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani
Suhas Gopinath: Mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani

Suhas Gopinath akiwa na mwanzilishi wa Microsoft (Bill Gates)
Suhas Gopinath akiwa na mwanzilishi wa Microsoft (Bill Gates)

Akiwa na miaka 14, miaka 10 iliyopita alianzisha Globals Inc ambayo ni kafteria ya internet huko Bengaluru, India hakujua kuwa yeye ndiye mmiliki wa kampuni mdogo kuliko wote duniani

Leo hii  Globals ni kampuni kubwa ya mamilioni ya dola za kimarekani yenye ofisi zake nchini  Marekani, India, Kanada, Ujerumani, Italia, Uingereza, Hispania, Austalia, Singapore na Mashariki ya mbali na ina wafanyakazi 100 India na 56 nje ya India

Huyu kijana ameweza kutunukiwa medani ya heshima nyingi lakini moja wapo kubwa ni ile ya kualikwa kwenye baraza la ICT la Benki ya Dunia

Je Wajua Nchi Inayoongoza Duniani kwa Rushwa 2010?

0

Nchi inayoongoza duniani kwa kula rushwa 2010 ni nchi ya Somalia, Africa ikifuatiwa kwa karibu na nchi za Myanmar, Afganistan na Iraq. Nchi zinazoongoza kwa kutokula rushwa ni Denmark, New Zealand na Singapore. Nchi sita za Africa kati ya nchi kumi zilizoorodheshwa kwa kula rushwa zaidi duniani 2010 ni nchi za Somalia,

  1. Sudan,
  2. Chad,
  3. Burundi,
  4. Angola na
  5. Equatorial Guinea.

Nchi ya Rwanda inaongoza Africa mashariki kwa kutokula rushwa, Tanzania ya pili ikifuatiwa na Uganda. Burundi ina rekodi mbovu ya rushwa afrika mashariki na Kenya japo iko nyuma ya Rwanda, Tanzania na Uganda, lakini ripoti inasema kwamba inafanya vizuri ktk kupambana na rushwa.

Kwa Ripoti kamili fuata link hapa chini

Transparency International Corruption Report 2010

Orodha kamili ya ulaji wa rushwa hii hapa

NambaJina la NchiMaksi chini ya 10
1Denmark9.3
1New Zealand9.3
1Singapore9.3
4Finland9.2
4Sweden9.2
6Canada8.9
7Netherlands8.8
8Australia8.7
8Switzerland8.7
10Norway8.6
11Iceland8.5
11Luxembourg8.5
13Hong Kong8.4
14Ireland8.0
15Austria7.9
15Germany7.9
17Barbados7.8
17Japan7.8
19Qatar7.7
20United Kingdom7.6
21Chile7.2
22Belgium7.1
22United States7.1
24Uruguay6.9
25France6.8
26Estonia6.5
27Slovenia6.4
28Cyprus6.3
28United Arab Emirates6.3
30Israel6.1
30Spain6.1
32Portugal6.0
33Botswana5.8
33Puerto Rico5.8
33Taiwan5.8
36Bhutan5.7
37Malta5.6
38Brunei5.5
39Korea (South)5.4
39Mauritius5.4
41Costa Rica5.3
41Oman5.3
41Poland5.3
44Dominica5.2
45Cape Verde5.1
46Lithuania5.0
46Macau5.0
48Bahrain4.9
49Seychelles4.8
50Hungary4.7
50Jordan4.7
50Saudi Arabia4.7
53Czech Republic4.6
54Kuwait4.5
54South Africa4.5
56Malaysia4.4
56Namibia4.4
56Turkey4.4
59Latvia4.3
59Slovakia4.3
91Bosnia and Herzegovina3.2
91Djibouti3.2
91Gambia3.2
91Guatemala3.2
91Kiribati3.2
91Sri Lanka3.2
91Swaziland3.2
98Burkina Faso3.1
98Egypt3.1
98Mexico3.1
101Dominican Republic3.0
101Sao Tome & Principe3.0
101Tonga3.0
101Zambia3.0
105Algeria2.9
105Argentina2.9
105Kazakhstan2.9
105Moldova2.9
105Senegal2.9
110Benin2.8
110Bolivia2.8
110Gabon2.8
110Indonesia2.8
110Kosovo2.8
110Solomon Islands2.8
116Ethiopia2.7
116Guyana2.7
116Mali2.7
116Mongolia2.7
116Mozambique2.7
116Tanzania2.7
116Vietnam2.7
123Armenia2.6
123Eritrea2.6
123Madagascar2.6
123Niger2.6
127Belarus2.5
127Ecuador2.5
127Lebanon2.5
127Nicaragua2.5
127Syria2.5
127Timor-Leste2.5
127Uganda2.5
134Azerbaijan2.4
134Bangladesh2.4
134Honduras2.4
134Nigeria2.4
134Philippines2.4
134Sierra Leone2.4
134Togo2.4
134Ukraine2.4
134Zimbabwe2.4
143Maldives2.3
143Mauritania2.3
143Pakistan2.3
146Cameroon2.2
146Côte d’Ivoire2.2
146Haiti2.2
146Iran2.2
146Libya2.2
146Nepal2.2
146Paraguay2.2
146Yemen2.2
154Cambodia2.1
154Central African Republic2.1
154Comoros2.1
154Congo-Brazzaville2.1
154Guinea-Bissau2.1
154Kenya2.1
154Laos2.1
154Papua New Guinea2.1
154Russia2.1
154Tajikistan2.1
164Democratic Republic of the Congo2.0
164Guinea2.0
164Kyrgyzstan2.0
164Venezuela2.0
168Angola1.9
168Equatorial Guinea1.9
170Burundi1.8
171Chad1.7
172Sudan1.6
172Turkmenistan1.6
172Uzbekistan1.6
175Iraq1.5
176Afghanistan1.4
176Myanmar1.4
178Somalia1.1
Nchi inayoongoza duniani kwa kula rushwa 2010 ni nchi ya Somalia, Africa ikifuatiwa kwa karibu na nchi za Myanmar, Afganistan na Iraq. Nchi zinazoongoza kwa kutokula rushwa ni Denmark, New Zealand na Singapore.

Nchi sita za Africa kati ya nchi kumi zilizoorodheshwa kwa kula rushwa zaidi duniani 2010 ni nchi za Somalia,

Sudan,

Chad,

Burundi,

Angola na

Equatorial Guinea.

Nchi ya Rwanda inaongoza Africa mashariki kwa kutokula rushwa, Tanzania ya pili ikifuatiwa na Uganda. Burundi ina rekodi mbovu ya rushwa afrika mashariki na Kenya japo iko nyuma ya Rwanda, Tanzania na Uganda, lakini ripoti inasema kwamba inafanya vizuri ktk kupambana na rushwa

Kwa Ripoti kamili fuata link hapa chini