Home Blog Page 333

Je wajua jengo refu kuliko zote duniani?

0
Burj-Khalifa-Tower-Dubai
Burj-Khalifa-Tower-Dubai

Burj-Khalifa-Tower-Dubai
Burj-Khalifa-Tower-Dubai
Jengo refu kuliko zote duniani ni Burj Khalifa (Burj Dubai, or Dubai Tower), lililoko Dubai ambalo lina magorofa 162 au urefu wa futi 2,717 (Mita 828). Iligharimu dola za kimarekani bilioni 1.5. ina hoteli 9, vyumba 1,044 na lifti 57

Jengo hili lilizinduliwa rasmi mwaka huu na lilipewa jina la raisi wa UAE na Emirate of Abu Dhabi, Sheikh Khalifa bin Zayed al-Nahayan.

Orodha kamili ya majengo marefu 10 kuliko zote duniani hii hapa:

Jengo na nchiMwaka
orofa
UrefuMbunifu
M.Futi.
1.  Burj Khalifa (Burj Dubai, or Dubai Tower), Dubai, UAE20101628282,717Skidmore, Owings & Merrill
2.  Taipei 101 Tower Taipei, Taiwan20041015091,670C.Y. Lee & Partner
3.  Shanghai World Financial Center, China20081014921,614Kohn Pedersen Fox
4.  Petronas Towers 1 & 2, Kuala Lumpur, Malaysia1998884521,483Cesar Pelli
5.  Willis Tower (formerly Sears Tower), Chicago19741104421,450Bruce Graham (SOM)
6.  Jin Mao Building, Shanghai1999884211,381Skidmore, Owings & Merrill
7.  World Trade Center, New York
Imeharibiwa na magaidi 9/11/2001
19731104171,368Minoru Yamaski
8.  Two International Finance Centre (IFC), Hong Kong2003884141,362Cesar Pelli
9.  CITIC Plaza, China International Trust, Guanzhou1997803911,283DLN Architects
10.  Shun Hing Square, Shenzhen, China1996693841,260K.Y. Cheung Design Assc.

Chanzo chetu: About.com

Je wajua maziwa 5 kubwa kuliko zote duniani?

1
Ziwa kubwa kuliko zote duniani
Ziwa kubwa kuliko zote duniani

Ziwa kubwa kuliko zote duniani
Ziwa kubwa kuliko zote duniani

Orodha kamili hii hapa:

JinaUkubwa wa eneo ktk maili za mrab
1.  Ziwa Superior, Amerika ya kaskazini82,100 sq km/31,700 sq mi
2.  Ziwa Victoria, Africa69,490 sq km/26,830 sq mi
3.  Ziwa Huron, Amerika ya kaskazini59,600 sq km/23,000 sq mi
4.  Ziwa Michigan, Amerika ya kaskazini57,800 sq km/22,300 sq mi
5.  Ziwa Tanganyika, Africa32,900 sq km/12,700 sq mi

Chanzo chetu: Geology.com

Je Wajua Darubini 10 kubwa kuliko zote duniani?

0
Darubini kubwa kuliko zote duniani
Darubini kubwa kuliko zote duniani

Darubini 10 kubwa kuliko zote duniani ni hizi hapa

Darubini kubwa kuliko zote duniani
Darubini kubwa kuliko zote duniani
Jina na sehemu zilipoUrefu kutoka usawa wa bahari
(m)
Kipenyo cha lensi ya msingi (m)Mwaka wa kuanzishwaJina la Darubini na Mji (kama ni Tofauti na Sehemu)
1.  Mauna Kea Observatory (Hawaii, United States)4,15010.001993Keck Telescope I
2.  Mauna Kea Observatory (Hawaii, United States)4,2008.201997Subaru Optical-infrared Telescope (Japan)
3.  Fred Whipple Observatory (Mount Hopkins, Arizona, United States)2,6006.501994Multiple Mirror Telescope
4.  Astrophysical Observatory of the Russian Acadamy of Sciences (Zelenchuk, Stavropol’ Territory, Russia)2,0706.001976Bolchoï Teleskop Azimoutalnyï
5.  Palomar Observatory (California, United States)1,7065.081948Hale
6.  Roque de los Muchachos Observatory (La Palma, Canary Islands, Spain)2,3004.201987W. Herschel (British)
7.  Cerro Tololo Interamerican Observatory (Chile)2,4004.001976Victor M. Blanco Telescope (joint Chilean and U.S. operation)
8.  Anglo-Australian Observatory (Siding Spring, New South Wales, Australia)1,1643.891975Anglo-Australian Telescope (joint Australian and British operation)
9.  Kitt Peak National Observatory (Kitt Peak, Arizona, United States)2,0643.811973Mayall
10.  Mauna Kea Observatory (Hawaii, United States)4,1943.801979United Kingdom Infrared Telescope (British)

Je Wajua Matetemeko 12 Makubwa Zaidi Duniani?

0
China earthquake
China earthquake

Matetemeko 12 makubwa zaidi duniani ni:

China earthquake
Earthquake

NchiTarehe ya tukioKipimo cha richa
1.  Chile22 Mei 19609.5
2.  Prince William Sound, Alaska28 Machi 19649.2
3.  Andreanof Islands, Aleutian Islands, Alaska9 Machi 19579.1
4.  Kamchatka Peninsula, Russia4 Novemba 19529.0
5.  Indian cean, near Sumatra, Indonesia26 Desemba 20049.0
6. Japan, Honshu (northeast)11 Machi 20118.9
7.  Off the coast of Ecuador31 Januari  19068.8
8.  Chile27 Februari 20108.8
9.  Rat Islands, Aleutian Islands, Alaska4 Februari 19658.7
10.  Assam-Tibet (India-China Border)15 Agosti 19508.6
11.  Kamchatka Peninsula, Russia3 Februari 19238.5
12.  Banda Sea, Indonesia1 Februari 19388.5
13.  Kuril Islands13 Octoba  19638.5

Je Wajua Matetemeko 10 Maharibifu Zaidi Duniani?

0
Tetemeko china
Tetemeko china

Matetemeko 10 maharibifu zaidi kutokea duniani ni haya hapa chini ambayo yameua zaidi ya watu 50,000

Tetemeko china
Tetemeko china
Nchi/MjiTareheVifoKipimo cha richa
1.  China, Shaanxi Province23 Januari 1556830,000~8
2.  China, Tangshan

  27 Julai 1976255,0007.5
  3.  Indian Ocean, near Sumatra, Indonesia

   26 Desemba 2004250,0009.0
   4.  Syria, Aleppo

    9 Agosti 1138230,000
    5.  China, near Xining

     22 Mei 1927200,0007.9
     6.  Iran, D?mgh?n

      22 Desemba 1856200,000
      7.  China, Gansu

       16 Desemba 1920200,0008.6
       8.  Iran, Ardab

        23 Machi 1893150,000
        9.  Japan, Kant?-heiya

         1 Septemba  1923143,0007.9
         10  USSR (Turkmenistan, Ashgabat)

          5 Octoba 1948110,0007.3

          Je Wajua Kocha Anayelipwa Zaidi 2010 Kuliko Wote Duniani?

          0
          Kocha  anayelipwa zaidi 2010 kuliko wote duniani ni Jose Mourinho  wa Real Madrid ya Hispania anayelipwa Paundi 11.7 millioni kwa wiki Orodha kamili ya makocha wanaolipwa zaidi hii hapa:
          Jina la kochaTimu AnayofundishaNchiMshahara Kwa Wiki ktk million za paundi
          1.  Jose MourinhoInter MilanItalia11.7
          2.  Roberto ManciniManchester CityUingereza10.8
          3.  Luiz Felipe ScolariFC Bunyodkor8.5
          4.  Juergen KlinsmannBayern MunichUjerumani8.1
          5.  Fabio CapelloTimu ya TaifaUingereza7.5
          6.  Guus HiddinkTimu ya TaifaUrusi7.1
          7.  Sir Alex FurgusonManchester UnitedUingereza6.5
          8.  Pep GuardiolaFC BarcelonaHispania5.8
          9.  Arsene WengerArsenalUingereza5.7
          10. Lous Van GaalBayern MunichUjerumani5.4