Home Blog Page 334

Je Wajua Mchezaji Anayelipwa Zaidi 2010 Kuliko Wote Duniani?

1
Lionel Messi - Barca Superstar Striker
Lionel Messi
Lionel Messi - Barca Superstar Striker
Lionel Messi

Mchezaji anayelipwa zaidi 2010 kuliko wote Duniani ni Lionel Messi wa FC Barcelona ya Hispania anayelipwa Paundi 29.6 millioni kwa wiki

Orodha kamili ya wachezaji wanaolipwa zaidi hii hapa:

Jina la mchezajiTimu AnayochezeaNchiMshahara Kwa Wiki ktk million za paundi
 1. Lionel Messi
FC BarcelonaHispania29.6
 1. David Beckham
LA GalaxyMarekani27.3
 1. Christiano Ronaldo
Real MadridHispania27
 1. Kaka
Real MadridHispania16.9
 1. Thierry Henry
FC BarcelonaHispania16.1
 1. Ronaldinho Gaucho
AC MilanItalia15.5
 1. Carlos Tevez
Man CityUingereza13.8
 1. Zlatan Ibrahimovic
FC BarcelonaHispania13
 1. Frank Lampard
ChelseaUingereza12.8
 1. Samuel Etoo
Inter MilanItalia12.4

Chanzo chetu ni: Footy-boots.com

Je Wajua Bilionea Tajiri Kuliko Wote Duniani 2010?

2
Carlos Slim kutoka Mexico
Carlos Slim kutoka Mexico
Carlos Slim kutoka Mexico
Carlos Slim kutoka Mexico

Bilionea Tajiri Kuliko Wote Duniani 2010 ni Carlos Slim kutoka Mexico, ana utajiri wa kiasi cha dola za kimarekani billioni 53.5.

Orodha kamili ya mabilionea 50 duniani hii hapa:

 1. Carlos Slim Helu & family Mexico umri wa miaka 70 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  53.5
 2. William Gates III United States umri wa miaka 54 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  53.0
 3. Warren Buffett United States umri wa miaka 79 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  47.0
 4. Mukesh Ambani India umri wa miaka 52 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  29.0
 5. Lakshmi Mittal India umri wa miaka 59 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  28.7
 6. Lawrence Ellison United States umri wa miaka 65 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  28.0
 7. Bernard Arnault France umri wa miaka 61 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  27.5
 8. Eike Batista Brazil umri wa miaka 53 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  27.0
 9. Amancio Ortega Spain umri wa miaka 74 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  25.0
 10. Karl Albrecht Germany umri wa miaka 90 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  23.5
 11. Ingvar Kamprad & family Sweden umri wa miaka 83 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  23.0
 12. Christy Walton & family United States umri wa miaka 55 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  22.5
 13. Stefan Persson Sweden umri wa miaka 62 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  22.4
 14. Li Ka-shing Hong Kong umri wa miaka 81 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  21.0
 15. Jim Walton United States umri wa miaka 62 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  20.7
 16. Alice Walton United States umri wa miaka 60 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  20.6
 17. Liliane Bettencourt France umri wa miaka 87 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  20.0
 18. S. Robson Walton United States umri wa miaka 66 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  19.8
 19. Prince Alwaleed Bin Talal Alsaud Saudi Arabia umri wa miaka 55 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  19.4
 20. David Thomson & family Canada umri wa miaka 52 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  19.0
 21. Michael Otto & family Germany umri wa miaka 66 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  18.7
 22. Lee Shau Kee Hong Kong umri wa miaka 82 18.5 Hong Kong
 23. Michael Bloomberg United States umri wa miaka 68 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  18.0
 24. Sergey Brin United States umri wa miaka 36 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.5
 25. Charles Koch United States umri wa miaka 74 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.5
 26. David Koch United States umri wa miaka 69 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.5
 27. Larry Pumri United States umri wa miaka 37 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.5
 28. Michele Ferrero & family Italy umri wa miaka 83 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.0
 29. Kwok family Hong Kong umri wa miaka NA DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.0
 30. Azim Premji India umri wa miaka 64 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  17.0 India
 31. Theo Albrecht Germany umri wa miaka 88 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  16.7
 32. Vladimir Lisin Russia umri wa miaka 53 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  15.8
 33. Steven Ballmer United States umri wa miaka 54 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  14.5
 34. Robert Kuok Malaysia umri wa miaka 86 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  14.5
 35. George Soros United States umri wa miaka 79 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  14.0
 36. Anil Ambani India umri wa miaka 50 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  13.7
 37. Paul Allen United States umri wa miaka 57 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  13.5
 38. Michael Dell United States umri wa miaka 45 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  13.5
 39. Mikhail Prokhorov Russia umri wa miaka 44 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  13.4
 40. Birgit Rausing & family Sweden umri wa miaka 86 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  13.0
 41. Shashi & Ravi Ruia India umri wa miaka 66 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  13.0
 42. Mikhail Fridman Russia umri wa miaka 45 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  12.7
 43. Jeffrey Bezos United States umri wa miaka 46 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  12.3
 44. Savitri Jindal India umri wa miaka 60 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  12.2
 45. Donald Bren United States umri wa miaka 77 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  12.0
 46. Gerald Cavendish Grosvenor & family United Kingdom umri wa miaka 58 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  12.0
 47. John Paulson United States umri wa miaka 54 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  12.0
 48. Abigail Johnson United States umri wa miaka 48 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  11.5
 49. Jorge Paulo Lemann Brazil umri wa miaka 70 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  11.5
 50. Roman Abramovich Russia umri wa miaka 43 DOLA ZA KIMAREKANI BILLIONI  11.2

Chanzo chetu: Forbes.com

Je Wajua Nchi 3 Zenye Mabilionea Duniani 2010?

0
Bill Gate wa Marekani
Bill Gate wa Marekani
Bill Gate wa Marekani
Bill Gate wa Marekani

Nchi 3 Zenye Mabilionea Wengi Duniani 2010 ni Hizi Hapa:

Jina la Nchi
Idadi ya mabilionea
 1. Marekani
403
 1. China
64
 1. Urusi
62

Chanzo chetu: Forbe

Je Wajua Nchi 5 Zinazoongoza Duniani kwa kugharamia Utalii?

0

Nchi 5  Zinazoongoza Duniani kwa Kugharamia Utalii ni Hizi Hapa:

NchiJumla ya Matumizi ktk Mabilioni za Dola za Kimarekani
1. Ujerumani71.0
2.  Marekani65.6
3.  Uingereza55.9
4.  Japani38.0
5.  Ufaransa28.6

Chanzo Chetu:: World Tourism Organization. 2004

Je Wajua Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani?

0

Nchi Kongwe kwa Ustaarabu Duniani ni Misri.

Misri ya kale yakadiriwa miaka 3,000 iliyopita ndiyo jamii kubwa iliyostaarabika kutokea Duniani. Wamisri waliishi kandokando ya mto Nile na kitamaduni walistaarabika katika namna wanavyoongea, wanavyoabudu, wanavyoelewa na kuchukulia ulimwengu wa kaisili, walivyojiendesha kwa serikali mbalimbali, walivyoishi, walifanya matukio ya kijamii na burudani mbali mbali, na jinsi walivyojihusisha na wengine ambao hawakuwa wamisri.

Je Wajua Mito 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani?

1
River Nile Map
River Nile Map

River Nile Photo
River Nile Photo

Mito 10 Kubwa Kuliko Zote Duniani ni Hizi Hapa

Jina la mto

Urefu kwa KM/Maili

1.  Nile, Africa

6695 km/4160 mi

2.  Amazon, South America

6400 km/4000 mi

3.  Yangtze, Asia

6300 km/3900 mi

4.  Mississippi-Missouri-Red Rock, NorthAmerica

5970 km/3710 mi

5.  Yenisey-Angara, Asia

5550 km/3450 mi

6.  Huang He (Yellow River), Asia

5464 km/3395 mi

7.  Ob’-Irtysh, Asia

5410 km/3362 mi

8.  Río Paraná-Rio Grande, SouthAmerica

4500 km/2800 mi

9.  Amur-Shilka, Asia

4416 km/2744 mi

10. Lena, Asia

4400 km/2700 mi