Rais Magufuli Amsafisha Prof Mruma Kuhusu Makinikia ya Almasi ya Mwadui

0
31
Akipokea ripoti ya Makinikia ya Tanzanite almasi, Rais kwa ufupi alisema kuwa Profesa Mruma mzalenda mpiganaji aliyewekwa huko Mwadui kuisaida ofisi yake kupata taarifa muhimu za almasi. Hii inakuja baada ya ripoti ya Mhe. Zungu wa kamati ya bunge kumtaja kama sehemu ya timu ya mgodi wa mwadui iliyoshiriki kuibia serikali mabilioni ya fedha kwenye ukwepaji wa kodi tangu 2007. Ikumbukwe kuwa Prof Mruma aliwahi kuwa mwenyekiti wa bodi ya mgodi wa mwadui na sasa ni mjumbe wa bodi hiyo.

Leave your comment about Rais Magufuli Amsafisha Prof Mruma Kuhusu Makinikia ya Almasi ya Mwadui using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here