Rousseff apigani kurudi madarakani nchini Brazili

0
292

Rais wa Brazil ambae amesimamishwa, Dilma Rousseff, amewaambia maseneta kuwa yeye ni mhanga wa njama za kisiasa, zilizopangwa na wale ambao aliwashinda katika uchaguzi mkuu miaka miwili iliyopita. …Soma zaidi

Acha maoni yako kuhusu kwa kutumia fomu hapa chini

Weka majibu hapa

Tafadhali weka maoni
Tafadhali weka majina yako hapa