Simbachawene Kutumbuliwa Kufuatia Ripoti ya Makiniakia ya Tanzanite

0
23
Akipokea ripoti hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, John Magufuli alidai kuwa ataifanyia kazi mapendekezo ya ripoti kwa asilimia 100. Aligusia kusema kuwa mtu akitajwa tajwa kila mara hafai kuendelea kutumikia jamii. Aliendela kusema kuwa hataki kuamini kuwa wabunge wanaweza kuwaonea wabunge wenzake. Kwa maelekezo hayo, kuna kila dalili kuwa barua ya kumtumbua Simba Chawene iko tayari inasubiri kukabidhiwa tu. 

Leave your comment about Simbachawene Kutumbuliwa Kufuatia Ripoti ya Makiniakia ya Tanzanite using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.