Siri ya kutekwa kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda

0
1583
Siri ya kutekwa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda barua kutoka Ikulu
Siri ya kutekwa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda barua kutoka Ikulu

Hatimaye siri ya kutekwa, kuteswa na kunyofolewa kuchwa kwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya New Habari, Absalom Kibanda na unaoitwa mkanda wa video wa Willifred Lwakatare, imefichuka rasmi.

Kwamba mchezo mzima umefanywa na Idara ya Usalama wa Taifa na ofisi binafsi ya Rais (ORB).

Vyanzo vya taarifa kutoka ndani ya TISS vinathibitisha kwa asilimia 100 kuwa mkanda wa video wa Lwakatare na kutekwa kwa Kibanda kumefanywa na watu wa ndani ya idara hiyo.

Angalia haya mawasiliano ya wana Ofisi Binafsi ya Rais; pamoja na comment inayotolewa na Michuzi. Hapa unapata uthibitisho wa nani alitengeneza hii video.

Michuzi anaipongeza idara ya usalama kwa kuleta hii kitu. Anathibitisha kwamba ni kazi ya mikono ya usalama. Anawahamasisha wenzake wawakamate CDM kwa sababu ya video hii na kwamba hii ni kete kubwa CCM.

Maneno ya Michuzi yanayoonyesha kwamba Usalama ndio umeleta hii video, yanathibitisha kwamba usalama ndiyo waliomtesa Kibanda ili watumie kigezo cha kumkamata Lwakatare. Hapa ndipo tunapopaswa kutilia mashaka uchunguzi wa vyombo vya dola vya ndani.

Habari zinasema kuna mkakati mkubwa unasukwa wa kutengeneza video nyingi kwa watu mbalimbali kuwahusisha na ufadhiri wa vitendo vya uharamia huu unaofanywa nchini. Mtu wangu wa karibu ameniambia kuwa wanampango wa kumtengenezea video kama hiyo, Mengi, Lowassa na Freeman Mbowe ili kuwanyamazisha.

Mengi, Lowassa na Mbowe wao watatengenezewa zengwe kwamba ndiyo wafadhili wa hili genge. Nao ama watakamatwa au watakuwa blackmailed.

Haya hapa mawasiliano ya siri ya IKULU

Siri ya kutekwa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda barua kutoka Ikulu
Siri ya kutekwa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda barua kutoka Ikulu

http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/418434-siri-ya-kutekwa-kibanda-video-ya-lwakatare-zazidi-kufichuliwa.html

Zinazofanana:

Jukwaa la wahariri lalaani kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda.Jukwaa la wahariri lalaani kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda.
Jukwaa la wahariri limelaani vikali tukio la kutekwa, kuteswa na kuumizwa vibaya kwa mwenyekiti wa jukwaa hilo na mhariri mkuu mtendaji wa new habari coopera…

 

Kambi ya mafunzo ya ugaidi IgungaKambi ya mafunzo ya ugaidi Igunga
Kada na Green Guard wa CCM akielezea juu ya kambi zinazofadhiliwa na viongozi wa CCM zinazotoa mafundisho ya ugaidi.

 SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/418434-siri-ya-kutekwa-kibanda-video-ya-lwakatare-zazidi-kufichuliwa.html
saa 6 zilizopita Haya hapa mawasiliano ya siri ya IKULU Download attachment. Michuzi-3.pdf. From: To: Re: MKUU HII KITU YA HUYU JAMAA IMEKAAJE?

kauli ya absalom kibanda kuhusu kutekwa kwake na kuumizwa…!!!
http://www.jestina-george.com/2013/03/kauli-ya-absalom-kibanda-kuhusu-kutekwa.html
7 Machi 2013 Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahahariri na Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari 2006 Ltd, Absalom Kibanda akipakiwa kwenye

VIDEO: Lwakatare wa CHADEMA akipanga mkakati wa kutekwa …
http://www.jukwaahuru.com/video-lwakatare-wa-chadema-akipanga-mkakati-wa-kutekwa-kwa-absalom-kibanda/
siku 2 zilizopita Imevuja video yenye kumuonyesha Wilfred Lwakatare wa CHADEMA, akiwa katika kile kinachoelezwa kuwa ni uandaaji wa mkakati wa

Uhuru Hauna Kikomo: KUTEKWA NA KUTESWA KWA KIBANDA
http://ndimara.blogspot.com/2013/03/kutekwa-na-kuteswa-kwa-absalom-kibanda.html
Mar 7, 2013 KUTEKWA NA KUTESWA KWA KIBANDA. Wateswe au wauawe wangapi ndipo tustuke? Picha: Absalom Kibanda. Na Ndimara Tegambwage

Mhariri, Absalom Kibanda atekwa, apigwa, ajeruhiwa – wavuti.com
http://www.wavuti.com/4/post/2013/03/mhariri-absaloum-kibanda-atekwa-apigwa-ajeruhiwa.html
Mar 6, 2013 Mhariri, Absalom Kibanda atekwa, apigwa, ajeruhiwa Serikali kwa ujumla wamelifanya kuhusiana na kutekwa na kuteswa kwa Dkt Ulimboka

Jamhuri: Lowassa amponza Kibanda; Mtanzania: Waziri Membe …
http://www.wavuti.com/4/post/2013/03/jamhuri-lowassa-amponza-kibanda-mtanzania-waziri-membe-atajwa.html
siku 3 zilizopita Tukio la Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda, kutekwa, kupigwa, kung’olewa meno, kukatwa kidole na

Kutekwa kwa Kibanda – Dk. CHEGENI aviishukia vyombo vya USALAMA
http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/417881-kutekwa-kwa-kibanda-dk-chegeni-aviishukia-vyombo-vya-usalama-new-post.html
1 day ago Kutekwa kwa Kibanda – Dk. CHEGENI aviishukia vyombo vya USALAMA waliomteka na kumjeruhi Absalom Kibanda kushindwa kukamatwa haraka kama

 

Leave your comment about Siri ya kutekwa kuteswa na kuumizwa kwa Absalom Kibanda using the comment form below

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here