Kwa maneno mafupi tu, Stearling amefunga mabao ambayo yameipaisha Man City kuwa point 14 juu ya wengine wanaofukuzia kombe la EPL. Kwa maneno mengine goli moja lenye pointi 3 muhimu ni ora kuliko magoli mengi yasiyo na point. Pale City wanapokuwa na uhaba wa magoli, Staerling anatokea na kufunga bao. Mfano mzuri ni lile la Man city na New Castle.
Kwa upande mwingine, Harry Kane pamoja na nyota yake ya Kufunga magoli kuwa nzuri mwaka huu pengine kuliko miaka mingine lakini timu yake ni ya ya sita (6) katika mzunguko wa 21 wa ligi ya Uingereza wakati Mancity ya Stearling inaongoza kwa pointi 14. Pia Mohamed Salah pamoja na kuvunja rekodi ya Suarez katika kufunga magoli akiwa na klabu ya Liverpool, bado liverpool ni ya nne (4) katika mzunguko wa 21 wa ligi.
Msimamo wa Ligi ya Uingereza katika mzunguko wa 21 ni kama ilivyoonyeshwa hapa chini:
Nic
I I like to play video game again isn’t that nice for me and I like too much very much